Makamanda wa CHADEMA!!!!!!

Status
Not open for further replies.
Kamanda wa Chadema Joshua Nassari akihutubia mkutano wa hadhara Arusha alijitanganza kwamba yeye ni Rais wa Kaskazini na Waziri mkuu wake ni Lema (mwaka jana) na akaenda mbali zaidi akamtaka Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania asikanyege Arusha!!! Kamanda Lema nae akihutubia mkutano wa hadhara Arusha amemtaka MH.Zitto asikanyage Arusha!!!!.Ubaguzi kama huu utaipeleka pabaya sana Nchi hii hasa tukiwaacha hawa vibaka wa kimachame wakiendelea na siasa za kibaguzi namna hii.
tehe tehe. Jama linakubali kuwa ni makamanda.
 
Mtela mwampamba hivi huna kazi za kufanya? Kaoge and then ulale ili uotee vizuri gamba wewe!
 
Hivi wewe msukule bado unatumika hivi.
Pole sana!

Kamanda wa Chadema Joshua Nassari akihutubia mkutano wa hadhara Arusha alijitanganza kwamba yeye ni Rais wa Kaskazini na Waziri mkuu wake ni Lema (mwaka jana) na akaenda mbali zaidi akamtaka Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania asikanyege Arusha!!! Kamanda Lema nae akihutubia mkutano wa hadhara Arusha amemtaka MH.Zitto asikanyage Arusha!!!!.Ubaguzi kama huu utaipeleka pabaya sana Nchi hii hasa tukiwaacha hawa vibaka wa kimachame wakiendelea na siasa za kibaguzi namna hii.
 
Hujitambui na hapa ndiyo akili yako ilipoishia kuandika uzushi tu kila kukicha ili kupandikiza mbegu za chuki.

Kamanda wa Chadema Joshua Nassari akihutubia mkutano wa hadhara Arusha alijitanganza kwamba yeye ni Rais wa Kaskazini na Waziri mkuu wake ni Lema (mwaka jana) na akaenda mbali zaidi akamtaka Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania asikanyege Arusha!!! Kamanda Lema nae akihutubia mkutano wa hadhara Arusha amemtaka MH.Zitto asikanyage Arusha!!!!.Ubaguzi kama huu utaipeleka pabaya sana Nchi hii hasa tukiwaacha hawa vibaka wa kimachame wakiendelea na siasa za kibaguzi namna hii.
 
Kamanda wa Chadema
Joshua Nassari akihutubia mkutano wa hadhara Arusha alijitanganza kwamba
yeye ni Rais wa Kaskazini na Waziri mkuu wake ni Lema (mwaka jana) na
akaenda mbali zaidi akamtaka Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
asikanyege Arusha!!! Kamanda Lema nae akihutubia mkutano wa hadhara
Arusha amemtaka MH.Zitto asikanyage Arusha!!!!.Ubaguzi kama huu
utaipeleka pabaya sana Nchi hii hasa tukiwaacha hawa vibaka wa kimachame
wakiendelea na siasa za kibaguzi namna hii.

Sidhan kama mtu huyu ana akili timamu, unapochangia topic kama hii tafakari kwanza an usiwe kama Zuzu kwa akili
 
Kamanda wa Chadema Joshua Nassari akihutubia mkutano wa hadhara Arusha alijitanganza kwamba yeye ni Rais wa Kaskazini na Waziri mkuu wake ni Lema (mwaka jana) na akaenda mbali zaidi akamtaka Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania asikanyege Arusha!!! Kamanda Lema nae akihutubia mkutano wa hadhara Arusha amemtaka MH.Zitto asikanyage Arusha!!!!.Ubaguzi kama huu utaipeleka pabaya sana Nchi hii hasa tukiwaacha hawa vibaka wa kimachame wakiendelea na siasa za kibaguzi namna hii.
ungekosoa tu bila kuweka suala la ukabila ningekuona wamaana sana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom