Mtela Mwampamba
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 537
- 347
Kamanda wa Chadema Joshua Nassari akihutubia mkutano wa hadhara Arusha alijitanganza kwamba yeye ni Rais wa Kaskazini na Waziri mkuu wake ni Lema (mwaka jana) na akaenda mbali zaidi akamtaka Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania asikanyege Arusha!!!
Kamanda Lema nae akihutubia mkutano wa hadhara Arusha amemtaka MH.Zitto asikanyage Arusha!!!!.
Ubaguzi kama huu utaipeleka pabaya sana Nchi hii hasa tukiwaacha hawa vibaka wa kimachame wakiendelea na siasa za kibaguzi namna hii.