Makamanda wa CHADEMA!!!!!!

Status
Not open for further replies.
Kamanda wa Chadema Joshua Nassari akihutubia mkutano wa hadhara Arusha alijitanganza kwamba yeye ni Rais wa Kaskazini na Waziri mkuu wake ni Lema (mwaka jana) na akaenda mbali zaidi akamtaka Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania asikanyege Arusha!!! Kamanda Lema nae akihutubia mkutano wa hadhara Arusha amemtaka MH.Zitto asikanyage Arusha!!!!.Ubaguzi kama huu utaipeleka pabaya sana Nchi hii hasa tukiwaacha hawa vibaka wa kimachame wakiendelea na siasa za kibaguzi namna hii.
Mimi nilifikiri wewe ni mbilikimo wa kimo tu kumbe hata akili!!! Haya sasa bosi wenu tumeshamkata mapembe.
 
Single zilizochuja nazo zinaibuliwa , mwaka huu tutasikia mengi sana ila ndiyo hivyo Dhambi ya usaliti inawatesa.
 
Kamanda wa Chadema Joshua Nassari akihutubia mkutano wa hadhara Arusha alijitanganza kwamba yeye ni Rais wa Kaskazini na Waziri mkuu wake ni Lema (mwaka jana) na akaenda mbali zaidi akamtaka Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania asikanyege Arusha!!! Kamanda Lema nae akihutubia mkutano wa hadhara Arusha amemtaka MH.Zitto asikanyage Arusha!!!!.Ubaguzi kama huu utaipeleka pabaya sana Nchi hii hasa tukiwaacha hawa vibaka wa kimachame wakiendelea na siasa za kibaguzi namna hii.
Mtela Mwampamba huridhiki na CCM mbona kila siku unahangaika na mambo ya chadema tu..
 
Last edited by a moderator:
kwa andiko lako hili (.tukiwaachaa hawa vibaka wa kimachame) sizani kama utakuja kutembelea MACHAME maana utatakiwa utoe ufafanuzi kama nao huu sio ubaguzi .wewe ccm chadema ikifaa sindio raha yako .sasa nini kinakuwasha .au kama sio kushindwa kwa mpango wenu kuifanya chadema ccm b.u get the shortcut into your bed and snore your sily head
 
Kwa hiyo baada ya andiko hilo ndiyo imeamriwa kesho upewe mshahara siyo ! Dah! Hela za ccm zinaliwa kiurahisi sana ! CC - CAG , MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA , TAKUKURU .
 
Chadema ni kama kunguni ndani ya nyumba

CCM ni kama fisi walivyo kwa kutowajali wezao, CCM imewatekeleza watanzania na kilichobaki ni kuangalia matumbo yenu tu

eww-Hyena-scavenger-on-safari.jpg

Tulieni mpaka hapo CDM itakapomaliza ku scan

ScavengerHunt.jpg
 
cdm inaendele kuviscan virus vilivyo bakia.

R.I.P Zitto.Z.Kabwe and Co.
b1.jpg

Akili yako ulibadilishana na Kadi ya Chadema! Rudisha Kadi yao wakupe akili yako kabla hapajapambazuka si unaona wenzio wanaomba Booking ya kadi kwa Nape kabla ya 2015.
 
Kamanda wa Chadema Joshua Nassari akihutubia mkutano wa hadhara Arusha alijitanganza kwamba yeye ni Rais wa Kaskazini na Waziri mkuu wake ni Lema (mwaka jana) na akaenda mbali zaidi akamtaka Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania asikanyege Arusha!!! Kamanda Lema nae akihutubia mkutano wa hadhara Arusha amemtaka MH.Zitto asikanyage Arusha!!!!.Ubaguzi kama huu utaipeleka pabaya sana Nchi hii hasa tukiwaacha hawa vibaka wa kimachame wakiendelea na siasa za kibaguzi namna hii.

Wewe si ulishafukuzwa cdm kama mbwa? kagange njaa huko lumumba fc
 
Hizi siasa za kibaguzi zitatuharibia nchi.Naona ndani ya saccos yenu mambo yameharibika kwa sababu ya ubaguzi wa kikabila na kikanda na sasa mnaanza kutupangia mpaka maeneo ya kwenda!!!!!.kuwa kamanda wa chadema ni lazima ujitoe ufahamu yaani haya maneno utazani hawajawahi kuyasikia yakisemwa na haya vijana wa kimachame!!

Kuwa ccm hadi uwe na akili za maiti.
 
Kwa hiyo baada ya andiko hilo ndiyo imeamriwa kesho upewe mshahara siyo ! Dah! Hela za ccm zinaliwa kiurahisi sana ! CC - CAG , MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA , TAKUKURU .

Gharama za kung'oa Jicho la Absalom Kibanda,Gharama za kung'oa Kucha za Dkt Ulimboka, Damu za Wahanga wa Arusha pamoja na zile Shooting alizokuwa anarekodi Lema huku akizuia watu wasitolewe eneo la tukio mpaka arekodi vizuri ( Tazama Youtube ya Tukio la Arusha),Gharama za kumwagia watu Tindikali Tabora, Gharama za Koswa koswa Frank Msaki wa Mwananchi, gharama za Ajali ya Chacha Wangwe, Koswa koswa Zitto Kabwe pamoja zote hizi Msajili anataka kukagua Gharama zake halisi.
 
Kamanda wa Chadema Joshua Nassari akihutubia mkutano wa hadhara Arusha alijitanganza kwamba yeye ni Rais wa Kaskazini na Waziri mkuu wake ni Lema (mwaka jana) na akaenda mbali zaidi akamtaka Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania asikanyege Arusha!!! Kamanda Lema nae akihutubia mkutano wa hadhara Arusha amemtaka MH.Zitto asikanyage Arusha!!!!.Ubaguzi kama huu utaipeleka pabaya sana Nchi hii hasa tukiwaacha hawa vibaka wa kimachame wakiendelea na siasa za kibaguzi namna hii.

Masalia mnaweweseka sana! Ngoja bwana wenu nae anawafuata sijui kama CCM wataendelea kuwabeba tena maana mmeshakuwa kama condom iliyotumika.
 
Kamanda wa Chadema Joshua Nassari akihutubia mkutano wa hadhara Arusha alijitanganza kwamba yeye ni Rais wa Kaskazini na Waziri mkuu wake ni Lema (mwaka jana) na akaenda mbali zaidi akamtaka Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania asikanyege Arusha!!! Kamanda Lema nae akihutubia mkutano wa hadhara Arusha amemtaka MH.Zitto asikanyage Arusha!!!!.Ubaguzi kama huu utaipeleka pabaya sana Nchi hii hasa tukiwaacha hawa vibaka wa kimachame wakiendelea na siasa za kibaguzi namna hii.

Hivi we pumbafu machame au sehemu yoyote ya uchagani utalinganisha na huko kwenu mata.koni kwa nchi.

Koma kabisa kutukana nyumbani kwa wenzio inaonekana una laana ya mama yako shwaini mkubwa wewe. Siku ingine usilinganishe kwetu na huko porini kwenu nyamafu we
 
Kamanda wa Chadema Joshua Nassari akihutubia mkutano wa hadhara Arusha alijitanganza kwamba yeye ni Rais wa Kaskazini na Waziri mkuu wake ni Lema (mwaka jana) na akaenda mbali zaidi akamtaka Rais Wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania asikanyege Arusha!!! Kamanda Lema nae akihutubia mkutano wa hadhara Arusha amemtaka MH.Zitto asikanyage Arusha!!!!.Ubaguzi kama huu utaipeleka pabaya sana Nchi hii hasa tukiwaacha hawa vibaka wa kimachame wakiendelea na siasa za kibaguzi namna hii.

Mapamban yo can do better than huu ujinga .Honestly unasema ubaguzi ? Nani anaimba hapa kila siku Wachaga ,Kaskazini, Wakristo, Ukanda nk .Siyo CCM ? I thought umepata pa kuingizia chakula utatulia kumbe bado ? Kwa taarifa yako CCM wanawanyika sana katika hizi kampeni za kuvuruga Upinzani na mnachukua nafasi zao za Uongozi wakati wao ni wafia Chama badala yake wafia tumbo mnaonekana zaidi .Wako kimya vijana lakini they are not happy .
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom