Makamanda nauliza D25 mmefikia wapi?

Makamanda nauliza D25 mmefikia wapi?

Troll JF

Platinum Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
9,282
Reaction score
13,712
Makamanda Shimboni!
Nawauliza Mmefikia wapi maandalizi ya D25? Baada ya think tank yenu Mange kuwaacha kwenye Mataa?

Hakika mnatapatapa kweli kweli hamna uelekeo na jinsi kulivyo huku nje sioni mkifanikiwa.

Na vipi kuhusu Habil na Kabili alisema ata hack mifumo ya bank na TRA amefikia wapi? Najua nyumbu wengi hamuwezi kumuuliza kwa sababu aliwashika akili sana wakati ule sasa hivi kuna. Dada mmoja naye kaibuka ameshawateka tena.

Amani kwanza jamani tusilete vurugu Tanzania ni nchi yetu sote mbe

Huku kimenuka naona watu wengi wako road hawataki kusubiri D25 😁😁😁
 
mwambie aliyekutuma akae kwa kutulia kwani ICC inamhusu!
 
Sahivi Maria anawadanganya nyumbu anawaambia wakuu wa vyombo vya ulinzi wamemsusia IGP operesheni yake kwasababu ana kiburi hapokei simu zao kwahiyo wamesusa wameondoa askari wao mitaani

Kwahiyo Maria anazidanganya nyumbu kuwa tokeni siri ni namba safari hii hawawezi kuwauwa tena.

Maria ni kama ameshajua anaongoza kundi la manyumbu ambalo linaona mwenzao analiwa na mamba ila baada ya dakika mbili zinasahau zinasema yule siyo mamba ni gogo.

Anazitegeshea nyumbu zitoke zikaliwe na mamba huku yeye kajifungia juu ya dari, nashukuru baadhi ya nyumbu zimeanza kupata akili zimechomoa pembe zinamletea noma Kigagula Maria Sarungi
 
Makamanda Shimboni!
Nawauliza Mmefikia wapi maandalizi ya D25? Baada ya think tank yenu Mange kuwaacha kwenye Mataa?

Hakika mnatapatapa kweli kweli hamna uelekeo na jinsi kulivyo huku nje sioni mkifanikiwa.

Na vipi kuhusu Habil na Kabili alisema ata hack mifumo ya bank na TRA amefikia wapi? Najua nyumbu wengi hamuwezi kumuuliza kwa sababu aliwashika akili sana wakati ule sasa hivi kuna. Dada mmoja naye kaibuka ameshawateka tena.

Amani kwanza jamani tusilete vurugu Tanzania ni nchi yetu sote mbe

Huku kimenuka naona watu wengi wako road hawataki kusubiri D25 😁😁😁
Screenshot_20251212-173144~2.png
 
Mapangoni. Rais Samia si Mchezo, atatufyeka, hana mchezo na LINDO lake la Tanzania na wanchi wake. Kakabidhiwa Rungu, analitumia ipasavyo.
 
Makamanda Shimboni!
Nawauliza Mmefikia wapi maandalizi ya D25? Baada ya think tank yenu Mange kuwaacha kwenye Mataa?

Hakika mnatapatapa kweli kweli hamna uelekeo na jinsi kulivyo huku nje sioni mkifanikiwa.

Na vipi kuhusu Habil na Kabili alisema ata hack mifumo ya bank na TRA amefikia wapi? Najua nyumbu wengi hamuwezi kumuuliza kwa sababu aliwashika akili sana wakati ule sasa hivi kuna. Dada mmoja naye kaibuka ameshawateka tena.

Amani kwanza jamani tusilete vurugu Tanzania ni nchi yetu sote mbe

Huku kimenuka naona watu wengi wako road hawataki kusubiri D25 😁😁😁
tumekubaliana tunaanza pale lugalo tunaparalaiz pale alafu tunaingia mjini
 
Back
Top Bottom