Tumaini Makene
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 2,642
- 6,071
Ratiba yao inaonesha wataanzia kwanza kwenda kusalimia wafungwa, kisha watazunguka kwenye masoko, baadae mikutano ya hadhara.
Makamanda wawili, Godbless Lema na Vincent Nyerere kesho wataanza kuishambulia Musoma. Bila shaka Watanzania wa Musoma kesho watanufaika na M4C.
Itakumbukwa kuwa Vincent alikuwa na ziara ya siku kadhaa mkoani Geita na mkoani Mwanza, ambako amefanya mikutano hadhara, kukagua uhai na ujenzi wa chama. Hivyo atakuwa anatokea ziara sehemu nyingine za Tanzania.
Kesho watu wa Musoma watashiba aisee.

Keep it up, Makamanda.
Baada ya Musoma, naomba twende na Serengeti. Pale kuna ngome ya mavuvuzera.
Guys, the time is now. Be part of changes.... Be blessed once again