MAKAMANDA Lema na Vincent kuanza kutikisa Musoma, Dec 09, 2012

Tumaini Makene

JF-Expert Member
Jan 6, 2012
2,642
6,070
Makamanda wawili, Godbless Lema na Vincent Nyerere kesho wataanza kuishambulia Musoma. Bila shaka Watanzania wa Musoma kesho watanufaika na M4C.

Itakumbukwa kuwa Vincent alikuwa na ziara ya siku kadhaa mkoani Geita na mkoani Mwanza, ambako amefanya mikutano hadhara, kukagua uhai na ujenzi wa chama. Hivyo atakuwa anatokea ziara sehemu nyingine za Tanzania.

Kesho watu wa Musoma watashiba aisee.

Picha kwa hisani ya Kiganyi

attachment.php

attachment.php
 
Keep it up, Makamanda.
Baada ya Musoma, naomba twende na Serengeti. Pale kuna ngome ya mavuvuzera.
Guys, the time is now. Be part of changes.... Be blessed once again
 
Magamba wana HASARA!.. Huyu jamaa amekuwa mwiba mkali baada ya kufanyiwa hila kwenye ubunge!..
 
Ratiba yao inaonesha wataanzia kwanza kwenda kusalimia wafungwa, kisha watazunguka kwenye masoko, baadae mikutano ya hadhara.
 
Mkuu, naomba uweke sawa kama hii ni "m4c" au "operation chakaza ccm" maana huu mchanganyiko unatuchanganya sana!
 
Kweli makamanda mpo kazini..........! Mwaka huu magamba yatajibeba 2 kwani moto wa huyu kamanda Nyerere ni hatari sana pia ukiunganisha na moto wa prophet lema(Mandela wa II) hapo haponi mtu.

Peoples power.
Solidarity forever.
 
Makamanda wawili, Godbless Lema na Vincent Nyerere kesho wataanza kuishambulia Musoma. Bila shaka Watanzania wa Musoma kesho watanufaika na M4C.

Itakumbukwa kuwa Vincent alikuwa na ziara ya siku kadhaa mkoani Geita na mkoani Mwanza, ambako amefanya mikutano hadhara, kukagua uhai na ujenzi wa chama. Hivyo atakuwa anatokea ziara sehemu nyingine za Tanzania.

Kesho watu wa Musoma watashiba aisee.

Ongera kwa CDM vivas forever M4C!!!
 
Tumaini ratiba ya Lindi lini? kumbuka hamjamaliza wilaya ya Nachingwea na Liwale. pia kupita tena Ruangwa Lindi Vijijini na mjini.
 
Keep it up, Makamanda.
Baada ya Musoma, naomba twende na Serengeti. Pale kuna ngome ya mavuvuzera.
Guys, the time is now. Be part of changes.... Be blessed once again

Kweli inabidi watie timu Serengeti, kule ndo kuna jamaa mmoja anaitwa Chandi yeye ndo anajifanya king maker wa pale, M4C inabidi ipite kule
 
Makamanda mungu awatangulie kwenye hz harakati za kuwakomboa watanzania....wale waliokuwa utumwa wanaenda kuwa uhuru.... M4C kiboko yao..
 
hay jamani tukumbuke kuwa yesu alikuja dunian kuokoa wenye dhambi,sasa twende zaidi kwenye mikoa yenye ngome za ccm.tukashambulie dodoma na singida,haya njooni basi iramba magharibi kwa huyu mropokaji wa ccm,mshka pesa za mafisadi,msiache kwenda hapo,vijana wanawashwa na ishara ya mabadiliko,tambueni hilo,
 
Makamanda wawili, Godbless Lema na Vincent Nyerere kesho wataanza kuishambulia Musoma. Bila shaka Watanzania wa Musoma kesho watanufaika na M4C.

Itakumbukwa kuwa Vincent alikuwa na ziara ya siku kadhaa mkoani Geita na mkoani Mwanza, ambako amefanya mikutano hadhara, kukagua uhai na ujenzi wa chama. Hivyo atakuwa anatokea ziara sehemu nyingine za Tanzania.

Kesho watu wa Musoma watashiba aisee.

Kaka Makene kwa mkoa wa mara hapo hakuna swali hata kidogo nadhani utaniunga mkono katika hili kwamba sisi watu wa huko hatuna longolongo kama ambazo unaona zinafanyika kama yale maeneo ya Bariadi,Geita huko na kwingineko,kule Bwana sisi tunataka Black&White ukija na chengachenga imekula kwao,kikubwa makamanda waendelee tu kuimarisha kambi kwa sababu kuna waongo fulani ambao wanajaribu kuchafua hali ya hewa ingawa bado hawajpatia.VIVA CDM.
 
Nadhani huyu rais wa A town muda si mrefu magogoni itamrudishia ubunge wake ili kumuweka busy na jimbo coz amewaelemea vibaya
 
Hello, hongera Lema na Vicent. Kazi yenu hakika italeta ukombozi hasa hasa maeneo ya Mjini hapo Iringo, Kitaji na Mukendo ndo bado kuna wazushi wanaoshabikia upuuzi wa CCM...Huyo Said Ellys hakikisheni M4C inamng'oa 2015. Kila la kheri.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom