GE2025 Makalla: Tanzania ili tusonge mbele katika maendeleo ni muhimu kuendelea kuwa na amani na utulivu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
505
Reaction score
887
Msingi bora wa Amani ni Haki! Kama viongozi mnahubiri amani katika nchi yetu tambueni wananchi wanataka haki kwanza kwenye Taifa ndio Amani iendelee kuwepo.

Lakini mkilazimisha amani tuuuuu, bila Haki mtakuwa kama mbuzi kumpigia gitaaa
==============
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. CPA Amos Gabriel Makalla amekutana na Viongozi wa dini na wa kimila kutoka Mkoa wa Arusha, akitoa Rai kwa Viongozi hao kuendelea kuhubiri amani kwa waumini na wafuasi wao pamoja na kuiombea nchi ya Tanzania.

"Muhimu kuhubiri kuwa hakuna nchi nyingine zaidi ya Tanzania na ili tusonge mbele katika maendeleo ni muhimu kuendelea kuwa na amani na utulivu kwahiyo kila mmoja wetu arejeshe matumaini na maombi hayo kwamba Watanzania tunahitaji amani hivyo sala na maombi yetu kwa Mwenyenzi Mungu ni amani na sisi serikali tutaendelea kupokea ushauri wenu na kuufanyia kazi." Amesisitiza Mhe. Makalla.

Msingi bora wa Amani ni Haki! Kama viongozi mnahubiri amani katika nchi yetu tambueni wananchi wanataka haki kwanza kwenye Taifa ndio Amani endelee kuwepo.

Lakini mkilzimisha amani tuuuuu, bila Haki mtakuwa kama mbuzi kumpigia gitaaa

Amani na utulivu huku mkiiba mali zetu pumbavu
 
Inashangaza sana jinsi hawa mazafakas walivyo brainless. Itawezekanaje kudumisha amani bila wadau kutendeana haki?
 
Nikiona mtu anashauri kuhusu amani kabla ya kutanguliza Haki namuona ni wale wale tu .
Hakuna amani bila Haki.
 
Bila HAKI hakuna amani wala utulivu
Hii mijitu iliyoiba mpaka kuvimbiana mashavu hii inakera mpaka basi 👹👹👹👹

20251110_153908.png
 
Back
Top Bottom