Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 4,398
- 14,512
Katibu wa NEC, Idara ya Itikadi na Uenezi na Mafunzo, Amos Makala, amesema Mbeya itabaki kuwa ngome ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na hakuna jimbo ambalo watamwachia mtu.
Amesema kata zote zitakuwa chini ya CCM na vivyo hivyo kwa majimbo.
Makalla, ameyasema hayo leo, jijini Mbeya, wakati akizungumza na wanachama wa chama hicho katika Ofisi za CCM Mkoa na baadaye jioni anatarajia kufanya mkutano wa hadhara.