Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,437
- 5,235
"Chama cha Mapinduzi (CCM) kinaamini kuwa marekebisho mengi yaliyofanywa katika sheria mbalimbali za kusimamia uchaguzi (mabadiliko ya sheria ya uchaguzi wa Madiwani, Wabunge na Rais; mabadiliko ya sheria ya vyama vya siasa; na mabadiliko ya sheria ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi -INEC),
Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
CCM inaamini kwamba kwa kuwa na maboresho hayo yote basi tunaamini atakayeshinda kwa haki atangazwe kuwa mshindi, na hii nadharia inayojengwa na baadhi ya wapinzani kwamba uchaguzi ulio huru na haki ni ule tu ambao chama tawala kimeshinda (yaani ni kama mechi, kwamba ukishinda unasema marefa walikuwa fair wamechezesha vizuri, lakini ukishindwa unasema palikuwa na tuta pale refa kaacha, palikuwa na faulo kaacha, pale palikuwa na Kona nk, kwahiyo ukishinda wewe tu ndio unasema mpira umechezeshwa kwa haki), hivyo hivyo na uchaguzi tunasema sisi kwamba atakayeshinda kwa haki atangazwe mshindi, hiyo ndio ahadi yetu" -CPA Makalla