Makalio yananitega!

LitmusPaper Ni ufahamu wako tu unakutuma vibaya,kisayansi ------ ni sehemu ya mwilini ambayo ziada ya kile ulichokula kisipotumika huhifadhiwa kwa ajili ya wakati wa upungufu. Labda kinachoweza kuwa sahihi ni kwamba huyo utakayekuwa naye inakuhakikishia hana utapia mlo na hivyo atakuwa ametulia kimawazo wakati wa tendo.
 
Last edited by a moderator:
Afu mtoamada hebu jitambue!
Kama m.a.ta.ko ya "ke" yakiwa nguoni wadai yanakutega!
Yakisauliwa nguo si ndo yatakuangusha kabisa?
Kama hivyo ndivyo you must change that habit soon !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…