Makalio ya Wanawake wa Kichina | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makalio ya Wanawake wa Kichina

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bujibuji, Nov 30, 2009.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Nov 30, 2009
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,300
  Likes Received: 22,085
  Trophy Points: 280
  Wanawake wa kichina hawana ****** makubwa yenye mvuto..
  Wamepigwa pasi,
  Hawana hips wala hawavutii kwa kuwaangalia.
  Wao wanajua kuwa kuwa na ****** makubwa na mahips kunamvutia kila mwanamume rijali,
  Lakini na kujua yote hayo, hawatetereki na hawasikiti kwa kuwa na maumbo waliyonayo.
  Dawa za kuongeza makalio zinatengezwa kwao,
  Wao hazitumii na wala hawana muda nazo.
  Swali la kujiuliza, je sisi tumelaaniwa?
  Kwanini hatujithamini na kujikubali?
  Je uzuri wa m wili una Faida gain wakati uzee waja upesi?
  Je tuanze kuamini kuwa sisi watu weusi ni manyani twashindwa kupembua na kuchambua hata mambo madogo?
  Au ndio ile laana ya motto wa Nuhu baada ya gharika?
  Au ndio kweli kuwa tu wa zuzu magic?
  Safari kweli ni ndefu, hatuendi shurti kwa viboko.
   
 2. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #2
  Nov 30, 2009
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Si zimeshapigwa marufuku kwa hiyo zitapotea! Maisha magumu pia huchangia ili mdada amvutie kidume apate kula
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  Nov 30, 2009
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,300
  Likes Received: 22,085
  Trophy Points: 280
  saa hizi zinatengenezwa kariakoo..
  kuna wachina wako pale mtaa wa agrey wanazo na wanaziuza kama dawa za kuulia wadudu
   
 4. Mkaa Mweupe

  Mkaa Mweupe JF-Expert Member

  #4
  Nov 30, 2009
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 654
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  Hapo ndio pabaya, yaani mtu na akili zako unategemea kula kupitia mvuto wa mwili? Hivi ni kwanini mtu unakuwa mwepesi wa kufikiria? Je, umepata kusoma habari ya nusu mtu? "Half-man, Half-price" in China.

  Tujaribu kuwa wafikirifu ili kujiletea maendeleo, fikiria mbali jamani.
   
 5. locust60

  locust60 Senior Member

  #5
  Nov 30, 2009
  Joined: Oct 1, 2008
  Messages: 102
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Tatizo tulilonalo sisi watu weusi ni kwamba hatujui tafsiri harisi ya uzuri,ndio maana utaona watu wanataka kuwa weupe au kuvaa nywere za bandioa ilikuonekana kama watu fulani.Huwa inanikera sana lakini sina la kufanya Minapenda uafrika wangu.
   
 6. M

  Magezi JF-Expert Member

  #6
  Nov 30, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  mwanzo wa yote ni njaa tu, kama watawala wetu wangeelewa kuwa njaa ndo chanzo cha maovu yote wange hakikisha nchi zetu za kiafrika zina chakula cha kutosha, huduma bora ya afya, elimu n.k. bila kurekebisha haya ni ndoto kutatua matatizo kama hayo ya dawa za kubadili miili na ushoga.
   
 7. Songambele

  Songambele JF-Expert Member

  #7
  Nov 30, 2009
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 3,435
  Likes Received: 1,016
  Trophy Points: 280
  Wachina pia wanatumia sema wako wengi na wamechoka hawawezi kununua wengi wao, na weusi wote wanatumia kama unavyotaka kuonyesha ni watu wachache mno si vyema ukaweka weusi wote.

  Weusi wengi ni warembo kuliko wachache wanaohangaika ku-fake, manake weupe wanatugroup wote na hata wamatumbi pia mmeanza tabia hiyo.
   
 8. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #8
  Nov 30, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  ........Tena siku hizi baada ya kuona dawa zao za kuongeza m.a.ta.ko na hips hazitoki sana, wameamuua kutengeneza ch.u.pi zenye siponji kwa nyuma ili mwanamke ukivaa uonekane una ta.ko...........nyingine wameamua kuweka siponji kwa pembeni ili ukivaa uonekane una hips.

  Cha ajabu vitu vyote hivi wenyewe wala hawatumii wapo natural tu.
   
 9. A

  AM_07 Member

  #9
  Nov 30, 2009
  Joined: Nov 7, 2009
  Messages: 74
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  wadau wa ujasiriamali, hiii tuiite ni innovation, adding value to product?
   
 10. Dr. Chapa Kiuno

  Dr. Chapa Kiuno JF-Expert Member

  #10
  Nov 30, 2009
  Joined: Sep 11, 2009
  Messages: 445
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Totally ryt mkuu
   
 11. bht

  bht JF-Expert Member

  #11
  Nov 30, 2009
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  Pretty umeniua kabsaaaaa!! hivi are you being serious on this?? OMG!!
   
 12. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #12
  Nov 30, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  I'm serious my dear!! Mbona zipo hapa bongo, wanawake tuna kazi we acha tu....chu.pi hizi za kujaladia ma.ta,ko na hips zipo shost hapa mjini, we tembelea boutique za mitaa ya sinza ukajionee mambooo!!
   
 13. bht

  bht JF-Expert Member

  #13
  Nov 30, 2009
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  makubwa!!! sasa hapo unakuwa unamdanganya nani hasa kama si wewe mwenyewe!!! na imagine unapata ajali loh!!!
   
 14. macho_mdiliko

  macho_mdiliko JF-Expert Member

  #14
  Nov 30, 2009
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 6,434
  Likes Received: 2,304
  Trophy Points: 280
  Mzizi wa tatizo ni miji-anaume ya kiafrika! Inapenda ngono sana.. saa zote inawaza ngono... Wanawake wa kichina hawawezi kufanya hivi kwani wanaume wao wanawapenda kama walivyo.
   
 15. bht

  bht JF-Expert Member

  #15
  Nov 30, 2009
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  tusipende kuhamisha mzigo wa lawama....kama mwnaume haupendi vile ulivyo basi forget about it. wanawake nao they stand out to be blamed!
   
 16. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #16
  Nov 30, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Ndio hapo sasa, kasheshe ndio uvae hizo chupi.....mwanaume anafikiri kweli umejaliwa ta.ko na hips, siku ya siku mpo kwenye yale mambo anakuvua nguo kumbe umejaladia!!! Mtu mzima kuumbukaa na kutoswa hapo hapo..........yalabiiiiiii!!
   
 17. BabaBabuu

  BabaBabuu Member

  #17
  Nov 30, 2009
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 86
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  hiyo mijianaume ya kiafrika inapenda ngono kwa asilimia ngapi kufananisha na wadhungu, wachina, wajapani na wahindi?
  saa zote: ina maana hawafanyi kazi, hawalali, hawali chakula, hawaogi etc.......... acha unyonge wa kifikra
   
 18. Mambo Jambo

  Mambo Jambo JF-Expert Member

  #18
  Nov 30, 2009
  Joined: Jul 11, 2008
  Messages: 1,100
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Ebwana we daktari nini, mwandiko wako hausomeki.....lol
   
Loading...