Makalio ya kichina!

Ahahahaah!! Kama ya ukweli vile....
 
Kweli ni makalio......................
 
aisee ubunifu ni kitu kizuri
 
Vigoda hivi vingefaa sana kwenye jiji la Dar. Mheshimiwa Meya changanyikia wazo hili bunifu!
 
du! mchina kiboko. wavilete na bongo pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…