Makalio Ya Bandia

Vijana mna shida sana,wkt wenzet wakivumbua sayar mpy sis tuko busy kujadil makalio...[emoji31] [emoji25]
 
Mimi manzi akishakuwa na chochote cha bandia mwilini mwake huwa stimu hazipandi kabisa.
Kuanzia nywele,kucha,kope na hata rangi,na akitaka aniue kabisa ajipakaze yale marangi rangi mdomoni na juu ya macho.Hapo hata kama nina kiu ya mwezi sifui dafu!.
Ila wanaume nyie ni wanafiki sana..
Vipi kuhusu perfume? Sio kwamba mnapenda natural scent..maana perfume nayo ni harufu bandia sio ya binadamu.
 
kama uyo alivyovaa kigodoro na ukiendekeza kuvaa ivyo unakuwa kama teja huwezi acha kabisa, kama muna love nae siku nyingine ana matako siku nyingine hana sijui wanavipendea nn vigodoro
 
afu wengine wanabapa ila wanapendeza tu shida nini hawa
 
Yaani ata sielewi! Mie na bapa langu naliachia kama lilivyo! Ata tukifika kitandani nna amani ya kua alishajiandaa kisaikolojia kua msichana wake ana kitu flati screen!!!! [emoji23][emoji23]
 
Mimi manzi akishakuwa na chochote cha bandia mwilini mwake huwa stimu hazipandi kabisa.
Kuanzia nywele,kucha,kope na hata rangi,na akitaka aniue kabisa ajipakaze yale marangi rangi mdomoni na juu ya macho.Hapo hata kama nina kiu ya mwezi sifui dafu!.
WAKIPAKA MIDOMO WANAKUA KAMA ***ya nguruwe aliye kwenye MWEZI
 
Jamani shida ingine hiyo tena inawapata wanaume. Kupatwa kwa makalio, yaani kama makalio yamepatwa unaenda kulala na mwanaume kweli hiyo si ni aibu, mie nilijua yakishapatwa ni kwa ajili ya kudodishia huko njiani
 
Hahaha...Kaukau ya kukaanga?
 
Jamani shida ingine hiyo tena inawapata wanaume. Kupatwa kwa makalio, yaani kama makalio yamepatwa unaenda kulala na mwanaume kweli hiyo si ni aibu, mie nilijua yakishapatwa ni kwa ajili ya kudodishia huko njiani
Sakayo Wanaume tunakutana na mengi sana,
Hapo usikute tumeshatoa hela nyingi kwaajili ya wezere, matokeo yake tunatapeliwa.....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…