tunapenda mke mwema na sio makalio wewe kijana
Wengine wakiyaona hayo mwili unawasisimka Kama wana tambaliwa na wadudu mwilini wengine watu wazima wana hadhirikaa kwa mfadhaiko...
Inamaana sie wenye finyango ya makalio hatupendwi?
Mkuu king'ast imekuwa kama ugonjwa kwanguHahaha dr unaonekana ukiyawaza tu udenda unakuchuruzika lol. Usije ukakosea kuoa mkuu, utaharibu.
Heheheeeeeeeee limefanyaje jina langu...au umelipenda
Kwani huwa hujioni? Sorry wakwasi wasije wakakujazia PM bure.
Kila mtu na sehemu yake inayo mmaliza kwenye mwili wa mwanamke kama wewe makalio mwenine macho,mwengine kifua,mwengine kucha na vyenginevyo.....kwa ufupi sio wote makalio..............kwenye makalio hakuna jasiri , tusidanganyane hapa jamani
Kila mtu na sehemu yake inayo mmaliza kwenye mwili wa mwanamke kama wewe makalio mwenine macho,mwengine kifua,mwengine kucha na vyenginevyo.....kwa ufupi sio wote makalio..............
kwa raha zako na fikra zako.............si kweli;makalio ndo kila kitu vingine ziada.
Si huwaga wanayazaba vibao wkt wa nanhii?
Jerrymsigwa inaonekana we ni proffesional kwa haya mambo...hahahahaaa...Eti kuyazaba mabao!!
Me mzima hofu kwako, kwani uongo unalo.