Weka source basi mkuu, usiseme tu Takwimu zinasema!MAKALA DHIDI YA MAAMBUKIZI MAPYA YA UKIMWI
Takwimu Zinasema Vijana Wenye Umri Wa Miaka 15 -24 Ndiyo Wanaongoza !
Hii Inaogofya ,Inatisha na Inanisukuma Moja Kwa Moja Leo Hii Hadi Kwa WATUNGA SERA ,
WATUNGA SHERIA ,WATUNGA KANUNI
Nilio Wataja Hapo Juu Ni Mihimili ya Nchi Yenye Wajibu Katika Wakati Fulani Kutunga Sheria ,Kanuni Na Sera
TAIFA Lilishatangaziwa Kuna JANGA LA UKIMWI !
Je Sheria Ziko Wapi ,Tunaliuliza Bunge !
Sheria Inayo Kwenda na Mapambano Dhidi ya Ukimwi iko Wapi ?
Tunaliiuliza Bunge ,Kama Kuna Sheria za Kuwalinda Faru ,Samaki Sangara Wasiishe Je Sheria ya Kuwalinda Watoto U-17 iko wapi ?
Tunatajiwa Maambukizi yako Kuanzia Miaka 15 kwa Sheria Na Haki za Mtoto Ambayo Tanzania Imeridhia Inawajibu Wa Kutunga sheria ya Kuwalinda na Kuanisha Sheria Mbali Mbali dhidi ya Maambukizi ya Ukimwi Kwa Watoto Hawa Wadogo
Masikini Tuwaonee Huruma ! licha ya Wengine kuwa Wamezaliwa na Maambukizi ya Ukimwi !Lakini Naamin 80 %-90 % hawakuzaliwa na Maambukizi ya Ukimwi...
Mabalaza ya Madiwani katika Halmashauli zetu zaidi ya 160 Kanuni Ziko Wapi za Mapambano dhidi ya Ukimwi Kwa Watoto ?
Watunga Sera Wataalam Wetu Mna Muongozo upi wa Sera kwa Watoto na Vijana ? ihali Takwimu Mnaziona
Vijiji Kwa Vijiji
Mitaa Kwa Mitaa
Vitongoji Kwa Vitongoji
Wapi Mnaonyesha Kweli Ukimwi ni Janga la TAIFA ?
Mtazamo Wangu Na Lengo ni Kuichagiza Jamii Ijue hili
,Jamii Ifumbuke
Mamlaka Za Nchi Zitupie Macho na Kuonyesha Uzito wa Hali ya Juu
Ahsanteni ntaendea Tena Kesho ima Usiku wa Leo
Balaa mzee..vijana wala hawaogopi siku hizi...UKIMWI upo kama haupo vile, kelele zote zipo kwenye
Nani mjinga hapo,serikali au watu wanaofanya ngonozembe ilihari wanajua wanachokifanya ni hatari,serikali haikuwatuma kuvuana vyupi,Mimi nadhani tuilaumu serikali kwa hoja za msingi kama vile kununua midege wakatu Kuna wanafunzi hawana madawati,Kuna mengine mengi ya kulaumu serikali,siyo Hilo .selikali yakijnga sana nashindwa ata kuilewa inaimidha watu wakapime ili wakibainika watumie arv wanashindwa kutoa elimu ya kutosha jinsi ya kujikinga na ukimwi sio wote wenye uwelewa kwa rika la vijana wa (m15-24-30) bado nakua na maswali mengi sana wausika wako bize na mambo yakijinga
Hii ndo serikali yetu imekuwa tabu kupata Suluhu kwa Samiaselikali yakijnga sana nashindwa ata kuilewa inaimidha watu wakapime ili wakibainika watumie arv wanashindwa kutoa elimu ya kutosha jinsi ya kujikinga na ukimwi sio wote wenye uwelewa kwa rika la vijana wa (m15-24-30) bado nakua na maswali mengi sana wausika wako bize na mambo yakijinga
Hapo mdau anaomba kuwe na angalau semina kuhusu UKIMWI ili kuwaelimisha watu kuhusu ugonjwa huo.Nani mjinga hapo,serikali au watu wanaofanya ngonozembe ilihari wanajua wanachokifanya ni hatari,serikali haikuwatuma kuvuana vyupi,Mimi nadhani tuilaumu serikali kwa hoja za msingi kama vile kununua midege wakatu Kuna wanafunzi hawana madawati,Kuna mengine mengi ya kulaumu serikali,siyo Hilo .
Takwimu umezipata wapi? Weka link ya chanzo cha Takwimu.Takwimu Zinasema Vijana Wenye Umri Wa Miaka 15 -24 Ndiyo Wanaongoza !
Kumbe ipo hivyo TenaWanawake condom hawazitaki..
Mwanaume kama unapenda papuchi inabidi uwe na maamuzi ya kutumia kinga muda wote.. wanawake wao wanataka nyama kwa nyama tu. Condom zinawaumiza wanadai
Nje ya mada mkuu, hiyo p.picture yako hunifikirisha sana!Ukimwi ni hatari wakuu, tuchukue tahadhari.
Mkazo mkubwa wa kampeni za kuelimisha watu dhidi ya maambukizi ya ya VVU zilifanyika sana miaka ya nyuma virusi hivyo vilipokuwa bado ni vigeni,sasa hivi naona mkazo umeelekezwa kwenye COVID 19.Hapo mdau anaomba kuwe na angalau semina kuhusu UKIMWI ili kuwaelimisha watu kuhusu ugonjwa huo.