Makahaba wa viwango wapo huku pesa yako tu.

Makahaba wa viwango wapo huku pesa yako tu.

jchofachogenda

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2012
Posts
537
Reaction score
123
Ukiusikiza wimbo mpya wa Ney wa mitego kuna kipande amesema kuwa "Makahaba wa viwango wapo Bongo Movie"Msemo wake unakwenda sambamba na maisha ya hawa dada zetu walio kwenye Tasnia hii pendwa hapa bongo kwa sasa.Kahaba sio lazima asimame barabarani kusubiri wanaume, hata yule anaemkubali kila mwanaume ili apate pesa nae pia ni kahaba. 071.JPG
 
Back
Top Bottom