Makadirio ya mapato ya Askofu Gwajima

Wanabodi,

Kama ni kweli Ngwajima ana waumini wasiopungua elfu sabini na wanaenda kanisani mara mbili kwa wiki basi Ngwajima anaingiza zaidi ya bilioni tatu kwa mwaka (makadirio ya chini kabisa)

NI HIVI:
Tufanye kila muumini wake hutoa sadaka ya sh. 500 tu-hiyo ni flat rate, ina include waliotoa elfu kumi, waliotoa sh mia na wasio toa kabisa.

Hivyo basi kwa siku moja kwa waumini 70,000 wakitoa sh 500 ni sawa na sh milioni 35. Kwa wiki wanaenda mara mbili hivyo ni sawa na sh milioni 70.

Kama kwa wiki anaingiza milioni 70, je kwa mwezi anaingiza kiasi gani? Uki cross multiplication utapata milioni 280

Kama kwa mwezi anaingiza milioni 280, je kwa mwaka anaingiza kiasi gani? uki cross tena multiplication utapata bilioni 3 na milioni 360. Sasa piga hesabu kwa miaka yote aliyotoa huduma ameingiza sh ngapi?

Kwa mantiki hiyo pesa aliyonunulia Hummer aliipata ndani ya mwezi mmoja tu.

Achilia mbali fungu la kumi na pesa mbali mbali anazopewa kama zawadi, hapo tumepiga hesabu ya sadaka tu.

NAMALIZIA, Biblia inasema "vya madhabahuni vitaliwa na wamadhabahuni" full stop.

Posted by: MCHUNGUZI HURU (Associate Professor)

Mzee hao waumini 70,000 walijiunga wote siku moja? Ninadhani alianza kidogo kidogo.
Watu 70,000 Ni idadi kubwa sana ya watu kukutana Mara moja kanisani. Kumbuka Uwanja wa Taifa unakadiriwa kumeza watazamaji waliokaa 60,000.
Halafu. hizo sadaka hutumika kwa matumizi mbali mbali kila siku iendayo kwa Mungu.
 
Last edited by a moderator:
unahis umegusa hisia za watu hapo ?

hzi bando zinazopatikana maeneo ya chuo bora zifutwe tuu , umeona sasa matokeo yake watu wanakuja kuandika sh. ndogo za gwajima unaacha kuzunfumzia tegeta escrow, epa, ....

kwel maisha bila unafki hayaendi

Fedha Ni fedha.hizo fedha hazizalishwi na Askofu. waumini wake ( Lowasa Slaa mwakyembe nape) na kadhalika ndio wanaochangia sadaka. wanazitoa wapi kama sio kuiba?
 
Mtoa mada jaribu kutuletea zinazotumika baa,kasino,gesti ,night club na sehemu kama hizo ili watu waumie wamrudie Mungu.Wewe mtu katoa sadaka kanisani wala hajalazimishwa wewe inakuhusu nn.Kwanza watoaji wenyewe Wakristo wanajua siri ya kumtolea Mungu.Uliwaona wanaomtolea Mungu wamefilisika?Au lengo lako hasa nn?Mbona Ibrahim alimtoa mwanae sembuse pesa.
 
Jamani mambo ya kaisari tumwachie kaisari na ya Mungu tumwachie Mungu maana tutakuja beba laana zizizo tuhusu jamani
 
Mazombie wanamtajirisha Gwajima... hapo mmepiga hesabu za sadaka pekee...ukiongezea na muda wanaopoteza badala ya kuzalisha, figure itakuwa kubwa kupitiliza! no wonder ulaya wameacha kabisa na haya mambo... nashauri Gwajima aanzishe miradi ya kanisa ...shamba la kuku litawasaidia zaidi....
 
Wewe unamtajilisha nani? Hapa duniani, hakuna anayeweza kutajilika pasipo uhitaji wa wanadamu wengine. Mfano, uwe na kiwanda cha bia, pasipo wanywaji, utakunywa bia mwenyewe?. Hivyo, kama wanaoabudu ubawaita mazombie, sijui wewe niuiteje tu, maana kama unakunywa pombe, kwanza unamnufaisha muuzaji, na pia kiwanda. Na kumbuka, kila.mtu anatumia pesa anayoipata kulingana na anavyopenda. Au ubataka wakuletee wewe?
 
Hakika wewe ni Zombie Mkuu... Gwajima anatengeneza over 3 Billions P.A ... Mtaji wake ni ninyi Mazombie ... Fuatilia Ulaya dini zilikoanzia, wanaendekeza Ujinga huu wa kushinda usiku na mchana kuomba? Bahati mbaya sana Muombaji mwenyewe ndo msanii kama Gwajima na Ka- Tortoise... Endelezeni uzombie bila kuzalisha muone kama mtafanikiwa zaidi ya kumtajirisha Gwajima...

Watu wanaacha kupga mahesabu ya TRA jinsi yanavoliwa na maCCM mnakuja na vijihesabu vya kataasis ambako hata hakatugusi wengine, acheni majungu nyiny, lete hesabu zenye maslahi mapana ya nchi bwana mnaboa sana

Tatzo watu wana macho lkn hawaoni na wakiasaidiwa kuona na wengine ndio wanataka kuwaonyesha kana kwamba ndio.dawa
 
Watu wanaacha kupga mahesabu ya TRA jinsi yanavoliwa na maCCM mnakuja na vijihesabu vya kataasis ambako hata hakatugusi wengine, acheni majungu nyiny, lete hesabu zenye maslahi mapana ya nchi bwana mnaboa sana

Kwa kweli hili ni jungu, tena kuu. Yaani mtu analala anaota sadaka? Hii ni hatari.
 
hizi imani zingine nazo inawezekana zikawa ni vichaka vya wezi tu.
(ewe Mungu tuepushie mbali)

What do you mean imani nyingine? Unaiyofautisha na imani ipi? Ninyi ndo mnaokurupuka baada ya kuota mnachinja watu wasio na hatia.
 
Hakika wewe ni Zombie Mkuu... Gwajima anatengeneza over 3 Billions P.A ... Mtaji wake ni ninyi Mazombie ... Fuatilia Ulaya dini zilikoanzia, wanaendekeza Ujinga huu wa kushinda usiku na mchana kuomba? Bahati mbaya sana Muombaji mwenyewe ndo msanii kama Gwajima na Ka- Tortoise... Endelezeni uzombie bila kuzalisha muone kama mtafanikiwa zaidi ya kumtajirisha Gwajima...

Mungu atakulipa sawasawa na dhihaka zako ewe mtumishi mwaminifu wa Ibilisi unayewaita wafuasi wa Kristo Yesu mazombie. Time will tell.
 
Back
Top Bottom