Makadirio ya mapato ya Askofu Gwajima

Waumini wenyewe ndio wanajua siri ya Kutoa. Ukitoa sadaka vyema na fungu la kumi mali zako haziliwi na nyenyere.
 
Watu wa Mungu ni matajiri jamani hata Muhamadi alikuwa mfanya biashara mzuri na hakuwa masikini tuache majungu....
 
Mahesabu feki kwa Mchunguzi feki, aingii akilini watu 70,0000 wakati hata elfu kumi hawafiki.
 
Ninyi watu wa umu banaa. Misukule inatoa sadaka inapata wapi hela. Wacha matani banaa. Labda kama kweli ana kiwanda cha poda huko Brazil kama anavyosema Mchunguzi hapo sawa. Mimi ainiingii akilini.
 

Kwanza nakupa taarifa hii, mimi si muumini katika kanisa la Gwajima. Pili bila shaka weww ni zombie ambaye hujitambui. Wewe unadhani kuna kitu gani ambacho kwa sasa kipo Afrika na asili yake ni ya ulaya? Hold on, internet hiyo inayokuwezesha kuandika upuuzi wako, ni ya wapi? Nguo ulizovaa, aina ya nyumba, n.k n.k, zilitoka wapi? Kwa hiyo kwa akili yako chafu, unadharau wale wanaofuata dini za kimagharibi, hapo hapo unasahau kuna watu wanaathiriwa na madawa ya kulevya ambayo nayo yanatoka huko huko. Hivi, kati ya anayetumia pesa zake kutoa sadaka, na yule ananunua madawa ya kulevya, yupi bora. Acha uboya wewe, Afrika bila ubishi, watu wengi wapo katika uraibu(addiction) ya vitu vyenye asili ya kimagharibi. Mfano, wapo walioathirika katika pornography, madawa ya kulevya, utumizi wa internet, endelea.
 

Kumbe ni biashara!
 
wanaosali unawaita mazombi! eheee.. wewe unayetajirisha wauza gongo na wamiliki wa madanguro tukuiteje? halafu uwe unafanyia tafiti taarifa b4 barking...kama watu wanashinda pale asbh till night..then wanakula mawe? hawasomeshi? wanatafuta saa ngapi hela japo za nauli ya kuwafikisha church? kichwani umejaza makamasi? can't u think? kha! ni kwamba ktkt ya wk zipo ibada rasmi 3, na zinakuwa jioni, saa 12 jioni-1:30/2 ucku. na ya j2 ndo ibada ndefu, inaisha kwenye saa 8 au zaidi au b4 saa 8. otherwise kama mtu ana maombi yake anaenda kwa muda wake kutokana na ratiba yake! Mbona katoliki kuna ibada kila siku,huoni shida? shida ni walokole! Halafu pole sana kwa kuita ibada UJINGA! ipo siku utaziona za thamani, nakuapia. nawafahamu wengi waliokuwa na dharau kuliko wewe, tena walikuwa juu kimaisha(sio ww mbeba mizigo) lakini leo hii........endelea, kabla ya kwenda jehanam utaelewa tu
 
hata angepata bilioni 56000 kwa siku zinakuhusu nini wewe kama unaona kanisani dili anzishe na wewe utapata mtaji
 

Ukifahamu kama kuna kuingiza ujue kuna na kutoa vile vile. Mimi niko kwenye kamati ya kanisa lililoko mjini, makusanyo ya sadaka ni kidogo sana ukilinganisha na matumizi - mishahara, umeme, ulinzi, vifaa vya ibada mara si mara moja matumizi ya kawaida kugharamiwa na michango ya maendeleo kama harambee za ujenzi.

Mleta mada vile vile ukumbuke wale wanaomzunguka Gwajima na suti zao nao wana familia zao zinazohitaji kuhudumiwa vizuri na hizo hizo sadaka
 
hivi unaelewa unaposema watu elfu sabini ,anakanisa la ukubwa gani au eneo la ukubwa gani?,acheni kuleta hapa porojo
 

Hii biashara ni tamu sana. Unawanyang'anya watu bila wao kupiga kelele wala kulalamika tena wasipokupa wanajiona ni wakosefu. No TRA no EFDs just clean monies!
 
Last edited by a moderator:
Atupigie hesabu za mafisadi niwangapi hapa nchini na mpaka sasa wameiba ngapi,akijumlisha na zile za Escro, na za uswiss.
 
Mkuu PODA manake nini kuwa muwazi tuelewe lugha hapa imenipiga chenga. Mimi najua Gwajima anauza maji, ana na kiwanda cha poda pia???

hahahaaahaaaa
mkuu umeniacha hoiii..
Poda ni lugha ya vijana
 

Naomba verse hiyo katika bible. Tuanzishe kanisa rafiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…