Wanabodi,
Kama ni kweli Ngwajima ana waumini wasiopungua elfu sabini na wanaenda kanisani mara mbili kwa wiki basi Ngwajima anaingiza zaidi ya bilioni tatu kwa mwaka (makadirio ya chini kabisa)
NI HIVI:
Tufanye kila muumini wake hutoa sadaka ya sh. 500 tu-hiyo ni flat rate, ina include waliotoa elfu kumi, waliotoa sh mia na wasio toa kabisa.
Hivyo basi kwa siku moja kwa waumini 70,000 wakitoa sh 500 ni sawa na sh milioni 35. Kwa wiki wanaenda mara mbili hivyo ni sawa na sh milioni 70.
Kama kwa wiki anaingiza milioni 70, je kwa mwezi anaingiza kiasi gani? Uki cross multiplication utapata milioni 280
Kama kwa mwezi anaingiza milioni 280, je kwa mwaka anaingiza kiasi gani? uki cross tena multiplication utapata bilioni 3 na milioni 360. Sasa piga hesabu kwa miaka yote aliyotoa huduma ameingiza sh ngapi?
Kwa mantiki hiyo pesa aliyonunulia Hummer aliipata ndani ya mwezi mmoja tu.
Achilia mbali fungu la kumi na pesa mbali mbali anazopewa kama zawadi, hapo tumepiga hesabu ya sadaka tu.
NAMALIZIA, Biblia inasema "vya madhabahuni vitaliwa na wamadhabahuni" full stop.
Posted by: MCHUNGUZI HURU (Associate Professor)
unahis umegusa hisia za watu hapo ?
hzi bando zinazopatikana maeneo ya chuo bora zifutwe tuu , umeona sasa matokeo yake watu wanakuja kuandika sh. ndogo za gwajima unaacha kuzunfumzia tegeta escrow, epa, ....
kwel maisha bila unafki hayaendi
Siku hizi biashara ya Siasa na Makanisa inalipa sana
Mazombie wanamtajirisha Gwajima... hapo mmepiga hesabu za sadaka pekee...ukiongezea na muda wanaopoteza badala ya kuzalisha, figure itakuwa kubwa kupitiliza! no wonder ulaya wameacha kabisa na haya mambo... nashauri Gwajima aanzishe miradi ya kanisa ...shamba la kuku litawasaidia zaidi....
Wewe unamtajilisha nani? Hapa duniani, hakuna anayeweza kutajilika pasipo uhitaji wa wanadamu wengine. Mfano, uwe na kiwanda cha bia, pasipo wanywaji, utakunywa bia mwenyewe?. Hivyo, kama wanaoabudu ubawaita mazombie, sijui wewe niuiteje tu, maana kama unakunywa pombe, kwanza unamnufaisha muuzaji, na pia kiwanda. Na kumbuka, kila.mtu anatumia pesa anayoipata kulingana na anavyopenda. Au ubataka wakuletee wewe?
Watu wanaacha kupga mahesabu ya TRA jinsi yanavoliwa na maCCM mnakuja na vijihesabu vya kataasis ambako hata hakatugusi wengine, acheni majungu nyiny, lete hesabu zenye maslahi mapana ya nchi bwana mnaboa sana
Watu wanaacha kupga mahesabu ya TRA jinsi yanavoliwa na maCCM mnakuja na vijihesabu vya kataasis ambako hata hakatugusi wengine, acheni majungu nyiny, lete hesabu zenye maslahi mapana ya nchi bwana mnaboa sana
hizi imani zingine nazo inawezekana zikawa ni vichaka vya wezi tu.
(ewe Mungu tuepushie mbali)
Hakika wewe ni Zombie Mkuu... Gwajima anatengeneza over 3 Billions P.A ... Mtaji wake ni ninyi Mazombie ... Fuatilia Ulaya dini zilikoanzia, wanaendekeza Ujinga huu wa kushinda usiku na mchana kuomba? Bahati mbaya sana Muombaji mwenyewe ndo msanii kama Gwajima na Ka- Tortoise... Endelezeni uzombie bila kuzalisha muone kama mtafanikiwa zaidi ya kumtajirisha Gwajima...
Mkuu PODA manake nini kuwa muwazi tuelewe lugha hapa imenipiga chenga. Mimi najua Gwajima anauza maji, ana na kiwanda cha poda pia???Kwa pesa hiyo haba haja ya kuuza poda