Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 61,558 Reaction score 74,371 Feb 8, 2021 #41 Trillion said: "ATAKE ASITAKE ", andika hivyo kwa herufi kubwa, watakupongeza hao wote. Nchi ya chama kimoja hii. Ujinga ujinga ni mwingi sana Tanzania Click to expand... Naunga Mkono Hoja, Ungana Na Hawa Ally Kessy Juma Nkamia Jah People Katiba Siyo Msahafu Wala Bible Tutaibadilisha Vigogo Wengine Wanatumia Maneno Ya Kujificha Haa😂😁😀
Trillion said: "ATAKE ASITAKE ", andika hivyo kwa herufi kubwa, watakupongeza hao wote. Nchi ya chama kimoja hii. Ujinga ujinga ni mwingi sana Tanzania Click to expand... Naunga Mkono Hoja, Ungana Na Hawa Ally Kessy Juma Nkamia Jah People Katiba Siyo Msahafu Wala Bible Tutaibadilisha Vigogo Wengine Wanatumia Maneno Ya Kujificha Haa😂😁😀
JOESKY JF-Expert Member Joined Mar 25, 2015 Posts 823 Reaction score 2,045 Feb 8, 2021 Thread starter #42 Fumadilu Kalimanzila said: Ni positive response na siyo positive respond, najua hamtaki kiingereza ktk awamu hii ya 5 lakini kwa English grammar mbovu kama hiyo lazima tuseme! Click to expand... Zinahusiananje sasa na mada? Umechizika nini wewe? kwani hapa tuko kwenye thread ya kufundishana kiingereza? Nonsense kabisa
Fumadilu Kalimanzila said: Ni positive response na siyo positive respond, najua hamtaki kiingereza ktk awamu hii ya 5 lakini kwa English grammar mbovu kama hiyo lazima tuseme! Click to expand... Zinahusiananje sasa na mada? Umechizika nini wewe? kwani hapa tuko kwenye thread ya kufundishana kiingereza? Nonsense kabisa
JOESKY JF-Expert Member Joined Mar 25, 2015 Posts 823 Reaction score 2,045 Feb 8, 2021 Thread starter #43 E At Calvary said: Mbona hujawasema wanaharakati. Wanablock watu hao [emoji16][emoji4] Click to expand... Elewa uzi umesema nini usikurupuke
E At Calvary said: Mbona hujawasema wanaharakati. Wanablock watu hao [emoji16][emoji4] Click to expand... Elewa uzi umesema nini usikurupuke
JOESKY JF-Expert Member Joined Mar 25, 2015 Posts 823 Reaction score 2,045 Feb 8, 2021 Thread starter #44 kipara kipya said: Ungejijibu mwenyewe huu utumbo wako unaong'ong'wa na nzi! Click to expand... Wewe ndo una shobo ambazo hazina maana nani kakuambia uje ujibu hoja kama unaona imekukera si ungeendelea kunywa chai kwa shemeji yako hapo?
kipara kipya said: Ungejijibu mwenyewe huu utumbo wako unaong'ong'wa na nzi! Click to expand... Wewe ndo una shobo ambazo hazina maana nani kakuambia uje ujibu hoja kama unaona imekukera si ungeendelea kunywa chai kwa shemeji yako hapo?
Trillion JF-Expert Member Joined Apr 24, 2018 Posts 3,329 Reaction score 7,502 Feb 8, 2021 #45 Mtup Kennedy said: Naunga Mkono Hoja, Ungana Na Hawa Ally Kessy Juma Nkamia Jah People Katiba Siyo Msahafu Wala Bible Tutaibadilisha Vigogo Wengine Wanatumia Maneno Ya Kujificha Haa😂😁😀 Click to expand... Eti Lijitupoli LITAKE LISITAKE, pumbavu zao kabisa kabisa. Kwa lipi haswa, kutesa na kuua watanzania?!
Mtup Kennedy said: Naunga Mkono Hoja, Ungana Na Hawa Ally Kessy Juma Nkamia Jah People Katiba Siyo Msahafu Wala Bible Tutaibadilisha Vigogo Wengine Wanatumia Maneno Ya Kujificha Haa😂😁😀 Click to expand... Eti Lijitupoli LITAKE LISITAKE, pumbavu zao kabisa kabisa. Kwa lipi haswa, kutesa na kuua watanzania?!
This is... JF-Expert Member Joined Dec 28, 2014 Posts 5,189 Reaction score 5,433 Feb 8, 2021 #46 JOESKY said: Sasa ulikuwa unasubiri nini kuandika uzi wako kuhusu hiyo kero? Jaribu kuwa serious na matumizi ya akili yako Click to expand... Kwa hiyo kuwaza kwetu kunafanana.Na ukishasoma kitu humu basi hutakiwi kutoa maoni au mtazamo au ushauri bali unafungua Uzi wako. Kwani Wewe nawe ulikuwa unasubiri nini usifungue uzi wako.
JOESKY said: Sasa ulikuwa unasubiri nini kuandika uzi wako kuhusu hiyo kero? Jaribu kuwa serious na matumizi ya akili yako Click to expand... Kwa hiyo kuwaza kwetu kunafanana.Na ukishasoma kitu humu basi hutakiwi kutoa maoni au mtazamo au ushauri bali unafungua Uzi wako. Kwani Wewe nawe ulikuwa unasubiri nini usifungue uzi wako.
This is... JF-Expert Member Joined Dec 28, 2014 Posts 5,189 Reaction score 5,433 Feb 8, 2021 #47 JOESKY said: Wewe ndo una shobo ambazo hazina maana nani kakuambia uje ujibu hoja kama unaona imekukera si ungeendelea kunywa chai kwa shemeji yako hapo? [/Q Wewe ni wa KUPUUZA. Click to expand...
JOESKY said: Wewe ndo una shobo ambazo hazina maana nani kakuambia uje ujibu hoja kama unaona imekukera si ungeendelea kunywa chai kwa shemeji yako hapo? [/Q Wewe ni wa KUPUUZA. Click to expand...
Haiku JF-Expert Member Joined Mar 31, 2018 Posts 2,941 Reaction score 2,087 Feb 8, 2021 #48 This is... said: Linini hilo! Click to expand... jiwe, mkuu
At Calvary JF-Expert Member Joined Aug 22, 2018 Posts 4,566 Reaction score 3,642 Feb 8, 2021 #49 JOESKY said: E Elewa uzi umesema nini usikurupuke Click to expand... Kwamba wao wanahitaji separate uzi? [emoji21]
JOESKY said: E Elewa uzi umesema nini usikurupuke Click to expand... Kwamba wao wanahitaji separate uzi? [emoji21]