Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,437
- 5,235
Baadhi ya matukio katika Mkutano mkuu wa chama cha mapinduzi unaofanyika jijini Dodoma tarehe 29-30/05/2025.
Na hao ni baadhi ya makada wazalendo wa CCM wakiendesha baiskeli wakiwa wanaingia ukumbi wa Jakaya Kikwete kushuhudia kila kitu kwenye mkutano huo