Sodium
JF-Expert Member
- Feb 14, 2014
- 754
- 404
Salaam ! Heri ya mwaka mpya kada wenzangu,kama kuna group lolote la whatsapp kwa wanachama wa kweli naomba tuwasiliane ili niweze uweze kuniadd ili kudumisha chama chetu pendwa.
Na kama halipo tunaweza tengeneza group jipya LA makada wa CCM.
CCM oyeeeee!!!
Na kama halipo tunaweza tengeneza group jipya LA makada wa CCM.
CCM oyeeeee!!!