Makabila ya Tanzania: Tamaduni zao na Historia yao

Tatizo umezaliwa mjini, ebu Kaulize wazazi wako vizuri watakuambia (Naamini ipo).

Jibu swali we ni koo gani? Nimezaliwa mjini na kijijini nimekaa miaka karibia saba isitoshe nilivyomaliza shule nilirudi kufanya kazi huko.

Nilikuwa karibu sana na babu yangu mambo mengi alikuwa akinisimulia.
 
angusI[654321]. Alafu sijaelewa mantiki yako, sijui unabisha nini wakati unaambiwa kuona kwa binamu kupo hata kwenye Ukoo wenu!
 
Hivi hivi mnafeli mitihani unaulizwa kitu kingine unajibu kingine.

Kuna Koo Fulani zinatokea maeneo ya kiagata na Silorisimba hao ndio nafahamu Wanaoa binamu zao.

Kwetu hapana maana ningeenda kuoa moja ya binamu zangu maana watoto mashallah..
 
Mbona kama mnachanganya maelezo wakuu, nani yuko sahihi?
Hajielewi yule Kazaliwa mjini alafu bado anabisha tu!. Kwa sababu katika Ngano na Soga tulizokuwa tunasimuliwa sijawahi kuambiwa kitu kama hicho "kwamba ukoo fulani Binamu hawaoani na ni kwa sababu 1,2,3."!.
 
Alifanyaje?
 
Kuzaliwa mjini sio hoja, miaka saba niliyokaa kijijini na babu yangu was natosha kufaham Mika na desturi zetu.

Utakuwa mwikoma wewe, ndio maana unaogopa kutaja maana Sifa zenu unazijua
 
Haya bhana ila mpe jibu mtoa mada aliye zaliwa mjini kama wewe ila anafahamu kwamba "Binamu wa Kikurya wanaruhusiwa kuoana"!
 
Unajua kuna wakurya orginal na wakurya majina. Mojawapo wewe ambae hujui koo yako na kama unaijua unaogopa kutaja shame on you.
 
Mbona hakuna Mukurya yeyote ariyechangia haboo?? Akichangia mumocha tuu ntakuambieni. Hao woote wariochangia naona ni baryisia tuu na basaghani mtaiya kibharaa
Mbuya mura,
Baryisia= Abharisya
Basaghani = Abhasaghane
Mtaiya= Motaya
Kibharaa = Kebhara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…