Makabila na tuhuma zao

C

Chagga King

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2011
Messages
1,768
Likes
679
Points
280
C

Chagga King

JF-Expert Member
Joined Jul 6, 2011
1,768 679 280
Nilichogundua kabila flani likipiga hatua flan kimaendeleo litapewa sifa lukuki na nyingine hasa zile mbaya, mfano wanasema wanyakyusa, wahaya, wachaga wanaubinafsi, (wachaga wezi), (wahaya vicheche), (wanyakyusa wanaubinafsi a.k.a mwamwamwa) na tuiyaangalia makabila haya wamepiga hatua kimaendeleo ndo makabila yanayosifiwa kwa kujituma, pia kuelimika hata huko kwao ni kuzuri sana
....wasukuma ni kabila linalosifiwa kwa upole na ukarimu, lakini ndo kabila linaloaminika kwa kuwa na washamba wengi na wengi hawajaenda shule, WAHA, ni kabila ambalo pia lipo kwenye transition maana ni wachakarikaji lakini shule kwao ni tatizo, wao pia hawana shutuma nyingi zaidi ya kalumanzila na ubishi (wakina bulaza K) pia makabila ya pwani nayo pia yanaeleweka kwa kukaa vibarazani na kucheza bao, je tatizo ni kuelimika au tatizo ni kabila, tuache ukabila na tujadili kiuhalisia.

...jamani mimi msinihukumu kwa kuwa haya niliyoyasema ndo tunafahamu wote hivyo (watu wa social works wanaelewa) labda kama hauishi Tz.
 
P

Pilitoni

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2011
Messages
1,002
Likes
113
Points
160
P

Pilitoni

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2011
1,002 113 160

wewe ni ni mk....ndu kweli ,umetumia takwimu za mwaka gani kuharisha hapa? Hakuna cha kupiga hatua wala nini, kama una tabia za kishenzi lazima uchanwe! By the way unaonekana shule ndogo kichwani na hujitambua, je kwa sasa umeshafanya utafiti ukagundua hapa tz kwa sasa ni kabila hizo tu ndio ziko juu kama unalivyohara hapa? Acha upuuzi na ujinga, jipange upya
 
Kiboko.

Kiboko.

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2013
Messages
2,702
Likes
452
Points
180
Kiboko.

Kiboko.

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2013
2,702 452 180
wewe ni ni mk....ndu kweli ,umetumia takwimu za mwaka gani kuharisha hapa? Hakuna cha kupiga hatua wala nini, kama una tabia za kishenzi lazima uchanwe! By the way unaonekana shule ndogo kichwani na hujitambua, je kwa sasa umeshafanya utafiti ukagundua hapa tz kwa sasa ni kabila hizo tu ndio ziko juu kama unalivyohara hapa? Acha upuuzi na ujinga, jipange upya
We ndo kitasa na majibu yako ya kikimba tuuu,uspoongelea hayo makabila bongo hiii utaongelea yap tenaaa?au umeumiabbaaada ya kikabila chako cha watu ishirin kutotajwaaa?
Sema na ww mtoa uzi wote vitasa tu kuja vtu vya maaaana vnatakiwa kuongelewa ww unakuja na utumbobwko hapa,hzo mishe paleekeni facebook sawa ww mtoa mada na huyu pacha ako aliekujibu.
 
GENTAMYCINE

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Messages
31,134
Likes
39,909
Points
280
GENTAMYCINE

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined Jul 13, 2013
31,134 39,909 280
Too illogical.
 
M

mputa

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2012
Messages
726
Likes
543
Points
180
M

mputa

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2012
726 543 180
nilichogundua kabila flani likipiga hatua flan kimaendeleo litapewa sifa lukuki na nyingine hasa zile mbaya, mfano wanasema wanyakyusa, wahaya, wachaga wanaubinafsi, (wachaga wezi), (wahaya vicheche), (wanyakyusa wanaubinafsi a.k.a mwamwamwa) na tuiyaangalia makabila haya wamepiga hatua kimaendeleo ndo makabila yanayosifiwa kwa kujituma, pia kuelimika hata huko kwao ni kuzuri sana
....wasukuma ni kabila linalosifiwa kwa upole na ukarimu, lakini ndo kabila linaloaminika kwa kuwa na washamba wengi na wengi hawajaenda shule, waha, ni kabila ambalo pia lipo kwenye transition maana ni wachakarikaji lakini shule kwao ni tatizo, wao pia hawana shutuma nyingi zaidi ya kalumanzila na ubishi (wakina bulaza k) pia makabila ya pwani nayo pia yanaeleweka kwa kukaa vibarazani na kucheza bao, je tatizo ni kuelimika au tatizo ni kabila, tuache ukabila na tujadili kiuhalisia.

...jamani mimi msinihukumu kwa kuwa haya niliyoyasema ndo tunafahamu wote hivyo (watu wa social works wanaelewa) labda kama hauishi tz.
stupid topic, irrelevant,non-logical, smells of tribalism
 
J

janken mbisso

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Messages
249
Likes
6
Points
0
J

janken mbisso

JF-Expert Member
Joined Dec 25, 2012
249 6 0
hasira,matusi ,kejel za nn!jadiil uz,kama hujapenda potezea lakn kama una faham kadanganya weken sawa record
 
M

mputa

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2012
Messages
726
Likes
543
Points
180
M

mputa

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2012
726 543 180
hasira,matusi ,kejel za nn!jadiil uz,kama hujapenda potezea lakn kama una faham kadanganya weken sawa record
Kujadili ujinga ? eti wachaga wezi, wahaya vicheche, ni mambo ya kijadili haya ?? Hili jukwaa hamlitendei haki kwa thread kama hizi
 
BOB OS

BOB OS

JF-Expert Member
Joined
Dec 11, 2011
Messages
1,507
Likes
1,509
Points
280
BOB OS

BOB OS

JF-Expert Member
Joined Dec 11, 2011
1,507 1,509 280
karne ya 21 mnajadili makabila:crying:
 
C

Chagga King

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2011
Messages
1,768
Likes
679
Points
280
C

Chagga King

JF-Expert Member
Joined Jul 6, 2011
1,768 679 280
...matusi huwa hayana effect yoyote, coz kila mmoja anauhuru wa kusema chochote.
...subiri niliweke sawa hili suala, inaonekana hamjafahamu kwanini nimezungumza hayo, lengo langu kubwa ilikuwa ni kujua kwanini makabila fulani yana kashfa sana, na ndio makabila yaliondelea hata kama tukikataa. Ni kweli yapo makabila mengi lakini huwezi yataja yote wakati Tz kuna makabila kama 120.
...nafahamu umuhimu wa Jf, na ni kweli tupo karne ya 21, lakini haya haya yanatokea ndani ya karne hii, so kwanini tusiyajadili?

Jamani mimi nimezingatia mambo mawili hapa nchini na ndio mambo yaliyonifanya ku post hiyo mada hapo

1. Masuala ya siasa
2. Masuala ya Ajira.....nitaeleza...

SIASA...hivi karibuni tukielekea uchaguzi mkuu wa 2015, kumekuwa na vuguvugu za hapa na pale kwenye siasa, hasa CHADEMA, nyie wenyewe mtakuwa mashahidi maana hata humu kumekuwa na posts nyingi sana khs CDM, wenyekiti wengi wa chadema mikoani wamekuwa wakijiuzulu kwa kudai kwamba chama hicho ni cha wachaga, au watu wa kaskazini, kwa sababu kiongozi wao ni mtu wa kaskazini, wanasema hayo bila kuzingatia historia ya chama hicho kuwa kiliasisiwa kaskazini, pia bila kuzingatia kuwa chama hicho kinakubalika sana huko kaskazini kwa sababu CCM ilishapoteza dira maeneo hayo tokea miaka mingi, hata uchaguzi wa mwaka 1995 NCCR-mageuzi ikitikisa sana huko, na si kwamba ilikuwa inapendwa sana, ni kwasababu CCM haikutakiwa. Kwahiyo chama chochote cha upinzani maeneo hayo kingekuwa na nguvu kubwa.
...Kuna hayo na mengine mengi tu lakini sio kusema kuwa kile chama kinawabeba watu wa kaskazini, so hili suala anayesema kwamba hii ni karne y 21, hatutakiwi kuyazingumzia, yupo sawa kimtazamo wake lakini tunakoelea sio kuzuri maana kumekuwa na mtindo wa kunyoosheana vidole katika makabila.
2. KATIKA AJIRA, huku nako kumekuwa na maneno kama hayo na yamesambaa kweli kweli, kwamba kuna makabila ambayo wanawekana katika nafasi mbalimbali za kazi, maana kila ukienda kwenye vitengo mbalimbali ni lazima utakuta aina ileile ya makabila katikaa vitengo hivyo, lakini mimi nilotaka tujielekeze katika historia ya makabila hayo, ukitambua historia yao hasa ya kielimu wala hutolalama, wakati kilimanjaro ina sekondari 40. Kigoma ilikuwa na sekondari moja tu, huo ni ukweli ila kuna watu watapinga wakati walikuwa hawayafahamu hayo, pia kuna siku nilikuwa nafawafanyia usaili (interview) waomba kazi mahala flani hivi, kiukweli makabila yaliyokuwa na idadi kubwa ktk huo usaili ni hayo hapo juu, kama uamini siku ukiwa unafanya usaijili jaribu kufanya, utafiti.

Sasa baada ya kuona hayo ndio nikajaribu kuileta ili tujadili, maana tunaweza kuelewana na kuondoa hizo fikra zilizojengeka miongoni mwetu, na pia kuanza ku fight sisi kama sisi bila kuwa na yale mawazo kwamba mimi siwezi maana huko vitengoni wanajuana tu.
..tuache matusi maana hayajengi na wala hayabomoi thread.
 
M

mokala1989

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2013
Messages
2,248
Likes
57
Points
145
M

mokala1989

JF-Expert Member
Joined May 4, 2013
2,248 57 145
stupid topic, irrelevant,non-logical, smells of tribalism
huyu mleta mada kanikasirisha mpaka natamani kufa, ninamiaka zaidi ya 30 tangu nizaliwe, lakini wengi zaidi ya 80% waliochangia katika mafanikio ya maisha yangu sio wa kabila langu wala familia yangu bali ni watanzania wenzangu! nawachukia sana wakabila
 
M

Mwamson

Senior Member
Joined
Jul 3, 2013
Messages
182
Likes
0
Points
0
Age
43
M

Mwamson

Senior Member
Joined Jul 3, 2013
182 0 0
We mshamba usijimbweleshe kinanihino,tembea kwanza na ukutane na vichwa!au mtumbwi umeshagoa ndio basi,KAULIZE MIKOA KUMI MASIKINI usipotajiwa na kwa wahaya basi fanya sherehe.
 
C Programming

C Programming

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2011
Messages
2,862
Likes
1,956
Points
280
Age
28
C Programming

C Programming

JF-Expert Member
Joined Nov 11, 2011
2,862 1,956 280
Nilichogundua kabila flani likipiga hatua flan kimaendeleo litapewa sifa lukuki na nyingine hasa zile mbaya, mfano wanasema wanyakyusa, wahaya, wachaga wanaubinafsi, (wachaga wezi), (wahaya vicheche), (wanyakyusa wanaubinafsi a.k.a mwamwamwa) na tuiyaangalia makabila haya wamepiga hatua kimaendeleo ndo makabila yanayosifiwa kwa kujituma, pia kuelimika hata huko kwao ni kuzuri sana
....wasukuma ni kabila linalosifiwa kwa upole na ukarimu, lakini ndo kabila linaloaminika kwa kuwa na washamba wengi na wengi hawajaenda shule, WAHA, ni kabila ambalo pia lipo kwenye transition maana ni wachakarikaji lakini shule kwao ni tatizo, wao pia hawana shutuma nyingi zaidi ya kalumanzila na ubishi (wakina bulaza K) pia makabila ya pwani nayo pia yanaeleweka kwa kukaa vibarazani na kucheza bao, je tatizo ni kuelimika au tatizo ni kabila, tuache ukabila na tujadili kiuhalisia.

...jamani mimi msinihukumu kwa kuwa haya niliyoyasema ndo tunafahamu wote hivyo (watu wa social works wanaelewa) labda kama hauishi Tz.
1.mkuu ukitaka kujua sifa za wahaya...penda sana kutembelea tandika kwa wahaya,mwananyamala kwa wahaya maeneo ya hospitali,buguruni kwa wahaya,manzese kwa wahaya,kimara kwa wahaya,kigamboni kwa wahayaa

2.ukitaka kujua sifa za wachaga penda sana kutembelea guest na bar za sinza, kimara,manzese,mbezi beach,tabata na maeneo yote jijini wanapouza kitimoto na mbege.......

3ukitaka kujua sifa za wanyakyusa penda sana kusali makanisa ya morovian, kkkt na pia penda sana kupita maeneo yanauzwa mchele

4.ukitaka kujua sifa za wapemba...penda sana kunywa supu ya pweza, kunywa supu ya ulojo,na kunywa juisi za kupimaa....

5.ukitaka kujua sifa za watu wa pwani...penda sana kukaa vijiwe vya kahawa na vijiwe vya kubishana mambo ya dini

6.ukitaka kujua sifa wakurya....nenda kapange chumba maeneo ya ukonga banana na kitunda.....

7.UKITAKA KUJUA SIFA ZA WAPARE ....PENDA SANA KUSALI SABATO.....

8UKITAKA KUJUA SIFA ZA WATU WA KUSINI...KAPANGE CHUMBA MBAGALA,TANDIKA. MTONI KIJICHI. MTONGANIII TEMEKE.....
 
MAPUMA MIYOGA

MAPUMA MIYOGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 30, 2013
Messages
3,405
Likes
1,618
Points
280
MAPUMA MIYOGA

MAPUMA MIYOGA

JF-Expert Member
Joined Jan 30, 2013
3,405 1,618 280
1.mkuu ukitaka kujua sifa za wahaya...penda sana kutembelea tandika kwa wahaya,mwananyamala kwa wahaya maeneo ya hospitali,buguruni kwa wahaya,manzese kwa wahaya,kimara kwa wahaya,kigamboni kwa wahayaa

2.ukitaka kujua sifa za wachaga penda sana kutembelea guest na bar za sinza, kimara,manzese,mbezi beach,tabata na maeneo yote jijini wanapouza kitimoto na mbege.......

3ukitaka kujua sifa za wanyakyusa penda sana kusali makanisa ya morovian, kkkt na pia penda sana kupita maeneo yanauzwa mchele

4.ukitaka kujua sifa za wapemba...penda sana kunywa supu ya pweza, kunywa supu ya ulojo,na kunywa juisi za kupimaa....

5.ukitaka kujua sifa za watu wa pwani...penda sana kukaa vijiwe vya kahawa na vijiwe vya kubishana mambo ya dini

6.ukitaka kujua sifa wakurya....nenda kapange chumba maeneo ya ukonga banana na kitunda.....

7.UKITAKA KUJUA SIFA ZA WAPARE ....PENDA SANA KUSALI SABATO.....

8UKITAKA KUJUA SIFA ZA WATU WA KUSINI...KAPANGE CHUMBA MBAGALA,TANDIKA. MTONI KIJICHI. MTONGANIII TEMEKE.....
ukitaka kujua tabia za wanyiramba, utembelee wapi ndugu???
 
Kifimboplayer

Kifimboplayer

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2013
Messages
1,484
Likes
321
Points
180
Kifimboplayer

Kifimboplayer

JF-Expert Member
Joined Nov 24, 2013
1,484 321 180
eti kila mtu ana uhuru wa kusema, great thinker ina mipaka yake upumbavu wako kasemehe facebook
 
O

Onguluo

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2013
Messages
395
Likes
61
Points
45
O

Onguluo

JF-Expert Member
Joined Aug 4, 2013
395 61 45
Kuna mambo mengi ya kujadili kwa maslahi ya Taifa. Nawashangaa mkitumia muda mwingi kujadili Upupuuuuuu.
 
C

Chagga King

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2011
Messages
1,768
Likes
679
Points
280
C

Chagga King

JF-Expert Member
Joined Jul 6, 2011
1,768 679 280
We mshamba usijimbweleshe kinanihino,tembea kwanza na ukutane na vichwa!au mtumbwi umeshagoa ndio basi,KAULIZE MIKOA KUMI MASIKINI usipotajiwa na kwa wahaya basi fanya sherehe.
....nakubaliana na wewe, Kagera ni mkoa masikini kwa sababu wahaya wenyewe hawapapendi, na mara nyingi hupakataa kwao hasa wale wananotoka wilayani, wanajenga kwenye mikoa ya watu.
 
C

Chagga King

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2011
Messages
1,768
Likes
679
Points
280
C

Chagga King

JF-Expert Member
Joined Jul 6, 2011
1,768 679 280
Mzee ES,
Nasikitika sana sikuwepo ktk mkutano huo na sababu kubwa ni kwamba sisi wenyewe hapa tulikuwa na kijimkutano chetu ktk kuanzisha upya jumuiya ya Watanzania.
Aliyosema Tausi ni habari zinazovuma North America na hakika hata mimi nimejaribu sana kupata habari hizi kwa kirefu lakini imekuwa shida. Vijana wengi naofahamiana nao hawakwenda. Habari za Bush kukutana na JK, kusema kweli nimeziona tu ktk magazeti ya Bongo. Sijaona hata artical moja toka gazetini, tovuti wala radio inayosema hivyo zaidi ya Dick na C. Rice.
Tausi,
Umezungumzia kuhusu Mkapa, sijui kama umesahau kwamba ni JK akiwa kama waziri wa mambo za nje ndiye alikuwa akijibu sana maswali ya Mkapa. Mkapa mwenyewe jeuri na mara nyingi alijiepusha hasa nchi za nje.
Kusema kweli Tausi nadhani mimi nitasikitishwa sana na nyie kwa sababu hamkujiandaa.. JK hawezi kujibu maswali ambayo hayakuulizwa. Rais yupo pale kusikia wewe matatizo yako na kuyawakilisha kwa wahusika! nadhani mlitakiwa kudondosha swala la Uraia wa nchi mbili...
...tatizo hajua what's the between the lines, soma kitu uelewe, eti great thinkers ina mipaka, inaa mipaka???
 
M

microX

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2011
Messages
435
Likes
158
Points
60
M

microX

JF-Expert Member
Joined Feb 6, 2011
435 158 60
Utafiti usio rasmi watoto wengi wa sasa wamechanganya makabila zaidi ya moja hawa watakuwa na tuhuma zipi?
 
Youngcaner

Youngcaner

Senior Member
Joined
Apr 12, 2013
Messages
116
Likes
11
Points
35
Youngcaner

Youngcaner

Senior Member
Joined Apr 12, 2013
116 11 35
kaka unatufundisha tuogopane na tudharauliane au? Acha hizo usirudie hata kimyakimya ni hatari.
 
Forum statistics

Threads 1,252,135
Members 482,015
Posts 29,797,767