Makaa ya mawe

MATAKATAKA

Senior Member
Jun 19, 2013
126
52
Wandugu hamjambo lakini? naomba kuuliza hivi makaa ya mawe unaweza kuyauza kama madini mengine kwa kilo na yana soko?
 
yana soko sana endapo utakuwa nayo kwa kiwango kikubwa sana kiasi cha kuweza kuyauza kwa viwanda vikubwa!kwani upo mkoa gani mkuu?
 
nipo kijiji kinaitwa itigi karibu na mpaka wa mbeya na cingida, kiwango kikubwa kama kipi mkuu?
 
Kwa katiba yetu madini ni mali ya serikali nakushauri we yachimbe kimya kimya ukayaifadhi kwenye ghala sehemu nyingine halafu tafuta wateja wakubwa waje kununua ghalani.

sawa mkuu, hiv una hata fununu kuwa bei zake zikoje?
 
Mkuu kabla haujaanza kuyachimba jitahidi ujue kwanza QUALITY ya mkaa wenyewe! Kuna wanunuzi wengi wapo, na kuna watu wengi wanataka ku'invest huko! Kiushauri ilo eneo ni lako unalotaka kuchimba????
 
ndio nipo kwny process ya mwisho ya kupata hati miliki, ila bado sijaanza kuyachimba mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…