Majuto: Sitatongoza mtandaoni tena

Tupe habari
i once met with my girl friend from this mitandao and so on,we used to know each other,spending out together for more than two years....unajua kilichofuatia......????
 
Wakati we unamshangaa nayeye alikua anakushangaa vilevile kwa iyo mlikua mnashangaana....ngoma droo
 
Alietoa pesa bandia kauziwa cheni bandia.
kuchanika kwa jamvi sio mwisho wa maongezi mkuu. Umekata tamaa mapema sana. Kwanza ulijua unaenda kukutana na Priyanka Chopra au? Maana umeumia kweli kweli. Na wewe una mvuto kidogo au unataka tu kukutana na wanawake warembo?
Baada ya huu uzi unadhani uliekutana nae atajisikiaje umemulna ni mbaya? Maumivu mengine tubaki nayo tu mioyoni. Sasa unadhani kuna mwanamke mwingine huku atataka kuonana na weww ili aje kunangwa muonekane wake? Fikiri kabla hujatenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…