Majuto: Sitatongoza mtandaoni tena

Elimu ya kutafuta marafiki mitandaoni inabidi itolewe. Hivi unaanzaje ku-fall kwa avatar/fake picture ya mtu?

Online dating inahitaji utulivu, umakini, taratibu, sio papara, urafiki kwanza then mahusiano baadae sana. Mtu anawaza kukutana na mdada na kumla siku hiyo hiyo, kwa nini usiwaze kukutana na stranger ambaye aweza kuwa rafiki tu? Then from there you start ado-ado.
 
Alipenda kupitiliza bila kujua sura
 
Pia mwanaume kutokuwa na kifua ni ujinga walah
Hahaha ujue ipo hivi mtu anajikoki kuonana na mrembo, ila mrembo yeye mawazo yake nikuongeza idadi yamarafiki nakufahamiana nawatu tofauti tofauti, ila jamaa lengo nikutongoza nakupata papuchi ila mwisho wasiku anakutana nazauso Hahahahaha anaamua kuja kuwashusha thamani wanawake wahumu mara wabaya mara oooooo sio smart
 
Umeandika point muhimu sana hata mtaani huwa haiwi rahisi.kihvivo
 
Nasema hivi mimi sisemi chochote katika huu uzi ....!
 
mbona wenzao tunapata mademu viwango safi kabisa mtandaoni? au huyu mwenzetu hatujaelewa mitandao gani anayoitumia...
Mitandao ni mizuri tu kuna watu wa kila sampuli pia unaweza kufanya urafiki kwanza sasa ukiwaza kingono ngono hii sio site ya machangu
 
Yani JF ukiona watu walikutana pm wakazoeana then wanakuja kuanika humu ujue wameshindwana sasa hasira huja kwa kulipiza kisasi cha kuzalilisha, huo sasa ndo uzwazwa wenyewe.
Hahahaha, asee kweli huo uzwazwa,ndio maana huwa nacheka sana Uzi km hz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…