Aiseee!Baba Gluk pole na yaliokusibu baba, mimi nimekuelewa sana lakini usidhani uko peke yako kwenye maswahiba hayo kuna wengi yamewakumba hapa wanaugulia maumivu kimya kimya. Nawafahamu kadhaa waliwahi kuvuka hadi mikoa wengine wakipanda ma dream liner yale madege ya magufuli na mahasara kibao, wamefika wamekodi mahoteli ya gharama sana wanajiandaa kuua mtu, mtu mwenyewe anapojitokeza na kuona jinsi alivyo ni majuto makubwa....wapo. Wapo waliokwenda kupokea ugeni ubungo tena usiku mnene wakingatwa na mbu kusubiri vitamu na mwisho wakajutia sana kwa walichokiona.....wapo. Nakwambia wapo hapa. Usilie sana mkuu wapo wengi.
Hahaha!Huu uzi nilikua nishaanza kuupotezea ila naona tunashare experience na wana.
Dooh!Sio bora ingekuwa dume lenzio,kakutana na kituko hiko hatariii
Madem weng humu ndani vibungoDooh!
Nina imagine demu aliekutana na mshikaji ...[emoji41][emoji41]
Ni hataree mkuu.
hahaa aisee bar maid tena !!? wapo humu humu "!!?, acha basii humu wanapatikana mademu wakali watoto wa osterbay " masaki " kijitonyama " mikocheni pekee tu
Umenichekesha sana " huwenda ikawa kweli maana mimi sina experience ya hivyo vitu " sijawahi kujaribu kuanzisha mahusiano na mdada wa Jf "..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] utakuja kufanyiwa uvamizi kma ukoko wa harusini.Madem weng humu ndani vibungo
Ushahid ninao mzee sio kwamba naongea tu,wengi midosho tu amini hvyo bablai[emoji23] [emoji23] [emoji23] utakuja kufanyiwa uvamizi kma ukoko wa harusini.
Subiri waamke.
Naamin hilo mzee.Ushahid ninao mzee sio kwamba naongea tu,wengi midosho tu amini hvyo bablai
Ili waonekane malaya?Naamin hilo mzee.
Lkini wao hua wanasema kwanin wao hua hawatufungulii uzi.
Nafikiri watu wanapaswa kumfuatulia mtu huku jukwaani kabila ya kuomba namba na kupiga mtongozo.Madem weng humu ndani vibungo
Hahahaa[emoji23][emoji23][emoji23]Tuanzishe basi rafiki
Mzee baba mda wote kuanza kufwatilia mtu huku mtandaoni huo muda unautoa wapi?Nafikiri watu wanapaswa kumfuatulia mtu huku jukwaani kabila ya kuomba namba na kupiga mtongozo.
Pamoja na watu kufake ID, kufake maisha, kuna kitu tuu lazima wanashindwaga kuficha...
Kama wewe ni mchunguri kuna tabia za mtu ukizijua utaweza kupatia ni mtu wa aina..
Ila ndio mpaka sasa ufuatulie hivyo;
sijawahi kuwasikia humu "... nadhani jf sio mtandao maarufu katika maeneo hayo tajwaWale wa Temeke sijui Tandale hamna kabiss
Hahahaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Kijana wa watu atakuwa anaangalia avatar huku aliko sasa..! [emoji38][emoji38]
sijawahi kuwasikia humu "... nadhani jf sio mtandao maarufu katika maeneo hayo tajwa
Mwisho wa siku bora kupambana na kina mwajuma matako fresh wa mtaani kwako manake unaona anakulala na anakoamkia [emoji23][emoji23] .Mzee baba mda wote kuanza kufwatilia mtu huku mtandaoni huo muda unautoa wapi?
Yapo mambo mengine mengi sana ya kufanya ..