Majuto: Sitatongoza mtandaoni tena

Nijifariji kwa lipi sihitaji huruma ya mpuuzi wa JF labda ya mtiaji wangu.


haya bhana Mkuu. Ila ndio hivyo kama umemuona mtoa post mpuuzi basi naye ndivyo alivyowaona ninyi
 
Nijifariji kwa lipi sihitaji huruma ya mpuuzi wa JF labda ya mtiaji wangu.
Mpuuzi ni nani? Mimi au ww Nitoleee makengeza yako hapa tusiharibiane siku.
 
Ha ha ha ha kwahio we ulivyoona jina cutelicious na avatar ya christina milian ukajua mtoto kisu au sio? Humu baadhi ya wachumba ni jau hadi kidume unaweza mkimbiza kwa muonekano yani! wengi wana mikwara na avatar za mastaa na mizigo mizigo hivi,
hahaa
 
Ndo hivyo mkuu , jina, mada zake pamoja na avatar vilinifanya ni usiku mzima nisilale nikiingonjea siku ya kuonana na mrembo matata, ila niliyekutana nae sina budi kutubu na kumrudia mola wangu au nikomae na wa huku uswazi kwetu.
hahaa
 
Hahahahahahah, ni noma mkuu kuna moja niliwahi ivutia whatsapp kucheki kumbe ni baamed af kolo kinoma nikaona isiwe kesi, since then no shobo humu! Tuchat tu yaishie hapa
hahaa aisee bar maid tena !!? wapo humu humu "!!?, acha basii humu wanapatikana mademu wakali watoto wa osterbay " masaki " kijitonyama " mikocheni pekee tu
 
hahaa aisee bar maid tena !!? wapo humu humu "!!?, acha basii humu wanapatikana mademu wakali watoto wa osterbay " masaki " kijitonyama " mikocheni pekee tu
Labda mi sina bahati mzee baba, maana chambo alikamata muhudumu!
 
Umenichekesha sana " huwenda ikawa kweli maana mimi sina experience ya hivyo vitu " sijawahi kujaribu kuanzisha mahusiano na mdada wa Jf "..
Haikuwa mahusiano ila ni kutest mitambo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…