Majuto: Sitatongoza mtandaoni tena

Sijui kwanini nikimuonaga Simara namfananishaga na wewe,kwanzia uandishi hadi avatar mnakaupacha flan kijeifu jeifu
 
Write your reply...Acha tu wenye kutongoza watatongoza
 

Pole sana na hongera kwa ujasiri wako. Wahanga wa mahusiano ya mtandaoni tuko wengi sana tunaugulia tumboni. Wengine watakuja kuongezea nyama huu uzi hutaamini utakachokisikia.
 
Turudi kwako cariha hako kaavator Kako nimekapenda vipi ndio wewe mwenyewe au ndio mafekecho
 
Usidaganywe na avator na comment Mimi sura yangu ka ya Remmy ongala usije kutana nami ukanikimbia na kunianzishia Uzi bure humu JF
Hahahahaha cariha ila me ushauri wangu muwe mnaweka avator ambazo zinaendana nanyinyi bac ili siku tukikutana mshtuko wetu usiwe mkubwa hii si kwawanawake tu bali hata kwavidume, mwanaume unasura kama wasira alafu unaweka evator ya chriss brown
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…