Wee si mwanamke lakini, utakosaje mtongozo? Na ivi avatar yako inaita ivo!!Hahahaaa. Changamoto ziletwe na nini?
Labda niseme sijakutana na mtu kwa ajili ya hizo mambo za kutongozana zaidi ya kuheshimiana na kuwa marafiki wengine ndipo ni ndugu kabisaaa.
Sawa rafiki, lakini unajua nini...... Au baasOooh. Sawa.
usijali rafiki.
Kumbe umekuja kunisaidia kuanisha hilo neno(mtongozo) hakunielewa nilimaanisha hvyo akasema hajawahi kukutana nazo hizo changamoto.Wee si mwanamke lakini, utakosaje mtongozo? Na ivi avatar yako inaita ivo!!
Hahahaaaaa. Huenda ikawa pia.Nakubali hilo pia.
Ila inawezekna pia baina ya hao watu kuna kikwazo kilichokuepo ndio wasingeweza kufanya hvyo.
Na pia unaweza ukabahatika kukutana na wastaarabu kma mim ikawa poa
Duuh! 😂😂😂😂😂 naona unalazimishia rafiki. Teh teh teh.Wee si mwanamke lakini, utakosaje mtongozo? Na ivi avatar yako inaita ivo!!
Naona mnatumia nguvu kubwa kulazimisha kwamba kila wanaokutana basi wametongozana ila niwaambie tu kiukweli haipo hivyo.Kumbe umekuja kunisaidia kuanisha hilo neno(mtongozo) hakunielewa nilimaanisha hvyo akasema hajawahi kukutana nazo hizo changamoto.
HhhhhhHahahaaaaa. Huenda ikawa pia.
Nimecheka hicho kisentensi chako cha mwisho lol. Nilishafunga kurasa maana ndugu , jamaa na marafiki naona kama wametosha hivi.
Amekwepeshaa, nimemshtukiaKumbe umekuja kunisaidia kuanisha hilo neno(mtongozo) hakunielewa nilimaanisha hvyo akasema hajawahi kukutana nazo hizo changamoto.
Oooh. Hapo sawa.Hhhhhh.
Mim kwa vile hawajanitosha bas ntaendelea kuwakaribisha.
Sera ya kwetu si unaijua.
Sivyo nilivyomaanisha.Naona mnatumia nguvu kubwa kulazimisha kwamba kila wanaokutana basi wametongozana ila niwaambie tu kiukweli haipo hivyo.
Hahahaaa. Basi tuishie kwenye kila anachokiamini mtu kwa nafsi yake kama unaamini hivyo kwangu mie ni kinyume rafiki.Amekwepeshaa, nimemshtukia
Oooh. Hapo sawa.
Wamekusikia wenye uhitaji rafiki. Hahahaaaa. Eti sera ya kwetu. Lol
Sikatai rafiki, lkn si wapo walikutongoza?Duuh!naona unalazimishia rafiki. Teh teh teh.
Sio wote wanaokutana na watu kisa mitongozo banaa.
Oooh. Mie sijaziona Changamoto bado rafiki.Sivyo nilivyomaanisha.
Nakusudia katika kila jmbo kuna changamoto nilijaribu kuuliza changamoto unazopitia.
Hahahaaa. Ndio lakini wengi walirudi nyuma sababu sikuwa na nafasi ya kuwaweka.Sikatai rafiki, lkn si wapo walikutongoza?
Kwa avatar hiyo afu hawapo watongozaji?Naona mnatumia nguvu kubwa kulazimisha kwamba kila wanaokutana basi wametongozana ila niwaambie tu kiukweli haipo hivyo.
Hapo basi tumeelewana.Oooh. Mie sijaziona Changamoto bado rafiki.
Sababu nilivyo hapa ndio nilivyokuwa huko hivyo sikuwa na cha kuigiza hata kimoja.
Hahahhaaaa, kwa hiyo watongozaji wote walichelewa eeh!!Hahahaaa. Ndio lakini wengi walirudi nyuma sababu sikuwa na nafasi ya kuwaweka.
Naona hujanielewa hata rafiki. Kwani niulize ukitongozwa ni lazima kumkubalia mtu?Kwa avatar hiyo afu hawapo watongozaji?
Kaoge maji ya baharini
Hahahaaaaa. Haya bana.Hapo basi tumeelewana.
Na ulisema ushafunga kabati la marafiki,ndugu na jamaa kwaio mim nimeongezeka(natania tu).