Bakariforever
JF-Expert Member
- Aug 30, 2017
- 510
- 514
Tuanze na wewe sasa kwenye hiyo avator kabla ya kwenda kwa mwingine ili ushauri wako ufanyiwe kazi vizuriHahahahaha cariha ila me ushauri wangu muwe mnaweka avator ambazo zinaendana nanyinyi bac ili siku tukikutana mshtuko wetu usiwe mkubwa hii si kwawanawake tu bali hata kwavidume, mwanaume unasura kama wasira alafu unaweka evator ya chriss brown
Hahaha ngoja niiangalie tena maana ishaisahau evator yanguTuanze na wewe sasa kwenye hiyo avator kabla ya kwenda kwa mwingine ili ushauri wako ufanyiwe kazi vizuri
Ila na wewe hiyo avator yako simchezo nihatariii sana...best ake inaonekana kuna kitu kinakukereketa kwenye koo teh teh!
Inashawishi eeh? Eti eeehIla na wewe hiyo avator yako simchezo nihatariii sana
Unafkiri...best ake inaonekana kuna kitu kinakukereketa kwenye koo teh teh!
Haahaaaahaaa...eti nataka uongeeUnafkirisometimes hukaa nikacheka sana na haya mambo.
Nnapokua kma hapa na nikaona thread kma hzi hua napata pa kuongea ni mambo tunakumbana nayo katika maisha yetu ya kila siku.
Unachotaka naona niongee tuu.
Inashawishi tena sana, level zake nihotel zanyota ndio ile najikoki natafuta hotel nzuri chaajabu unatokeza mtu tofauti yaani ufanani na avator yako hata robo yake mara pap ninakufa kabisaInashawishi eeh? Eti eeeh
Mara nakuzika kabisaInashawishi tena sana, level zake nihotel zanyota ndio ile najikoki natafuta hotel nzuri chaajabu unatokeza mtu tofauti yaani ufanani na avator yako hata robo yake mara pap ninakufa kabisa
Yumo humu mkuuKuna mmoja anatumia jina la cute kibiki,, huko instagram hana lolote anapenda kujibinuabinua tu huko instagram.
Mtu hawezi jiita cute kibiki IG afu ajiite jina hilohilo JF...impossibleYumo humu mkuu
HhhhhHaahaaaahaaa...eti nataka uongee
Ila na nyie vidume mvuto upo au mnaangalia filter za hips na mitumbo yetu?
Hahaaaa makubwa haya hivi unavutiwaje na avator ya mtu eti ndo upendo kah kwani mtu akiwa na hyo sura kajiumba yeye si ndo alivozaliwa you can't change it umba wa kwako mzuri, mi ndo mana hushangaa watu humu anataka akuone sura na picha ili iweje. JF ni mtandao mzuri ukiutumia positive wengine tumekutana na watu humu twaheshimiana no utoto sijui sura, status tumekuwa wote Mengi.
Kumbe hujui ukitakacho??Hhhhhsipendi kuwasema nyinyi.
Mim nnachokiangalia kwakweli hta sijui nin.
Hhhhhh kabisa sababu mim hua napenda kila kitu.Kumbe hujui ukitakacho??
Hahaha ila kweli aisee JF bana humu kuna watu wanatoleana mapovu mpaka nawazee wao mpaka kutongozana hivyo hivyo, naushauri hivyo hivyo unatoa ushauri kumbe unamshauri baba yako au mama yako mambo ya fake id hayoPicha ni lazima mtu aione, usije kuwa unamtongoza ndugu yako.
Oooh hapo sawa sasa....tunaita ' top prioritiesHhhhhh kabisa sababu mim hua napenda kila kitu.
Ila kuna vile vitu kwangu nahisi ni muhimu hvyo hua navizingatia kwanza.
Ila witnessj hiyo avator yako Mungu anakuonaMara nakuzika kabisa....kutongoza avatar na miandiko mwaja kutana na majini ohooo!
Ila witnessj hiyo avator yako Mungu anakuona