Njoo pm rafiki yangu uniambie nani huyo
Nimeuliza.
1 hunnidMambo kama haya unafikiri hata huwa nayachukua...I know ni jokes.
Unashindwaje bana kujiongeza kitu kidogo kama hicho rafiki..... Nikija pm nitakua mbeya sasa na umbeya mwanamme sio issue kabisa tena mwanamme wa mkoani bora hata ningekua wa mbagala
Magalasa yanatamani yakujue yaponde....haki umejua kunichana mbavuu!Wenye kuelewa wameelewa vilaza ndo wamenuna hasa hasa magarasa kama nawaona
Wanatamani wanijue heheheheheeee
Hahahaha,ndio nakuambia ukweli RafikiAaah.. utakubali sasa kwani?
Ndio maana nakupendaNaogopa kumsema mtu kwa sura yake saana naona kama namdhalilisha.
Mfano kama nimekutana na mwanamke humu hata kama nimboovu...akinitumia picha namsifia tena saana.
Hakuna jambo mbaya kama kumwqmbia mtu u mbaya.
Itamuuma.
Hahahahaaa.. sio umbea rafiki.. mi sijui sasa nani huyo anaewasemaga kaka zangu
Nadhani ww ni mmoja y wachache walionielew. Majigambo hayafai
Yeah...yupo wazi saana. msalimie mwambie nammiss saana.Masomo yamembana mkuu. Ila yupo Sijamficha angekwambia yule hakufichi kitu maana anakukubali sana.
Tafta tu wenye mikogo na wanaotuponda sana mara mabahili mara nini......
Unanipanga eeeh ili tukipanga kuonana nisikusemeNdio maana nakupenda
Mbona povuuu tulia utupe ujumbeHabari zenu wana MMU,
Usidanganyike na mada zao.
Usidanganyike na avatar zao
Usidanganyike na swaga zao.
Usidanganyike na usomi wao.
Usidanganyike na kejeri zao humu jukwaani.
Usidanganyike na kujifanya mambo safi
Wanaoponda wanaume wafupi, mara wasio na magari mazuri.
Wengi wao ukikutana nao hutaamini kile ukionacho mbele ya macho yako.
Huyu
Acha nipambane na hawa wa kina mwajuma ndala ndefu wa huku kwetu KIMBANGULIRE.
Leo ninatubu na storudia kumpenda mtu kwa avatar yake au picha.
Camera za 360 na simu za tecno zinawapendelea sana.
Nasema hivi .
(NIMETUBU SITARUDIA)
Muwe na na siku njema.
Check PM yako nimekutumia picha yangu. Nasubiria unisifie maana tangu nizaliwe sijawahi sifiwaUnanipanga eeeh ili tukipanga kuonana nisikuseme.
Vipi sasa?
Navyojua kusifia sasa.Check PM yako nimekutumia picha yangu. Nasubiria unisifie maana tangu nizaliwe sijawahi sifiwa