Majuto: Sitatongoza mtandaoni tena

Madomo zege ndio wanatongoza mitandaoni 😀😀😀😀
 
Hahahah af unakuta goma kama Ebitoke
 
Unapoteza gharama kubwa kwa maandalizi babu kubwa.
 
Kwahiyo mkuu jina utatutajia au niende tu nikapike?
 
Sasa kuponda si uamuzi wake mkuu kila mtu hukoment anachojiskia na huwezi kumpangia wengine huchangamsha genge tu. Sasa wewe expectation zako ndo zimeku cost pia kuanzisha Uzi ni lack of maturity lengo lako ilikuwa kumzalilisha tu.
 
Msichojua ni kuwa ID za kike nyingi ambazo ni maarufu wengi wao ni manungaembe sura mbovu maumbo kama biringanya matumbo yamening'inia mpaka yameziba kinena cha bibi miguu fito

Kuna mmoja maarufu sana humu ni shapeless balaa ana pasi ya adabu lakini anavyojishebedua

Maarufu wengi humu ni magarasa ukitaka vyombo tafuta ID zisizo maarufu hakika utafurahi lakini maarufu utakutana na midume myenzio yenye k
 
Hahahaha, asee hii Kali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…