C Crystal field theory JF-Expert Member Joined Sep 16, 2014 Posts 951 Reaction score 412 May 4, 2024 #1 Wakuu habari. Kwanini Huwa Kuna majuto Baada ya usaliti katika ndoa pindi ndoa inapovunijika, hii ni kwa mwanamke au mwanaume kuwa chanzo. Teña hatari zaidi kwa mwanamke kudanyanywa na mchepuko kuwa ataolewa nae na asiolewe. #Wanajamvii ufafanuzi
Wakuu habari. Kwanini Huwa Kuna majuto Baada ya usaliti katika ndoa pindi ndoa inapovunijika, hii ni kwa mwanamke au mwanaume kuwa chanzo. Teña hatari zaidi kwa mwanamke kudanyanywa na mchepuko kuwa ataolewa nae na asiolewe. #Wanajamvii ufafanuzi
Mama Mwana JF-Expert Member Joined Jun 6, 2023 Posts 2,510 Reaction score 8,006 May 4, 2024 #2 matatajio huua.
Beesmom JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 37,360 Reaction score 91,912 May 4, 2024 #3 Kwani nimeelewa sasa
Leejay49 JF-Expert Member Joined Feb 10, 2023 Posts 19,295 Reaction score 60,916 May 4, 2024 #4 Duuh🤔🤔
Manyanza JF-Expert Member Joined Nov 4, 2010 Posts 19,149 Reaction score 43,095 May 4, 2024 #5 Sijaelewa 🙄
cocastic JF-Expert Member Joined Nov 30, 2019 Posts 112,161 Reaction score 181,275 May 4, 2024 #6 Wee umejuajee? Mbona cc habari hatuna?
BARDIZBAH JF-Expert Member Joined Jan 11, 2017 Posts 5,906 Reaction score 11,722 May 4, 2024 #7 Vip ulidanganywa na mchepuo?
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 166,431 Reaction score 185,048 May 4, 2024 #8 Pole sana, ganga yajayo... Cc: Mahondaw
Iceberg9 JF-Expert Member Joined Nov 6, 2012 Posts 26,711 Reaction score 51,061 May 4, 2024 #9 Acheni uzinzi
C Crystal field theory JF-Expert Member Joined Sep 16, 2014 Posts 951 Reaction score 412 May 4, 2024 Thread starter #10 Husky said: Tupe ufafanuzi kwanza, umetoswa au ummetosa huyo mchepuko? Na vipi ndoani kule kunarudika? Click to expand... Kuishi na msaliti Bora uishi na mzinga wa nyuki geto
Husky said: Tupe ufafanuzi kwanza, umetoswa au ummetosa huyo mchepuko? Na vipi ndoani kule kunarudika? Click to expand... Kuishi na msaliti Bora uishi na mzinga wa nyuki geto
Mhandisi Mzalendo JF-Expert Member Joined Aug 23, 2010 Posts 7,218 Reaction score 12,749 May 4, 2024 #11 Pole sana zingatia ushauri wa wanasaikolojia. Usipende kukaa pekeyako, kuwa busy na mambo mengine. Majuto ni mjukuu
Pole sana zingatia ushauri wa wanasaikolojia. Usipende kukaa pekeyako, kuwa busy na mambo mengine. Majuto ni mjukuu
N Nyakisesee2 JF-Expert Member Joined Jan 19, 2023 Posts 251 Reaction score 405 May 4, 2024 #12 Hata najua basi
Raymanu KE JF-Expert Member Joined Jan 20, 2022 Posts 10,171 Reaction score 18,881 May 4, 2024 #13 Na majuto huwa Ni makubwa Sana especially kwa upande wa mwanamke. Mchepuko akishamchoka anamtema mazima
Na majuto huwa Ni makubwa Sana especially kwa upande wa mwanamke. Mchepuko akishamchoka anamtema mazima
C Crystal field theory JF-Expert Member Joined Sep 16, 2014 Posts 951 Reaction score 412 May 4, 2024 Thread starter #14 Raymanu KE said: Na majuto huwa Ni makubwa Sana especially kwa upande wa mwanamke. Mchepuko akishamchoka anamtema mazima Click to expand... Baadae wanaomba kurudiana nako unakuta mtu alishanza maisha na mwingine ni pigo
Raymanu KE said: Na majuto huwa Ni makubwa Sana especially kwa upande wa mwanamke. Mchepuko akishamchoka anamtema mazima Click to expand... Baadae wanaomba kurudiana nako unakuta mtu alishanza maisha na mwingine ni pigo
Half american JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 45,075 Reaction score 111,678 May 4, 2024 #15 Crystal field theory said: Kuishi na msaliti Bora uishi na mzinga wa nyuki geto Click to expand... 😂