Nynyi si ndoo mnshadadia haki za mtoto hatakiwi kuguswa.Wazazi naomba tuongee kwa dakika 5 tu…
Sisi Tumechoka sana Tukija kuwatembelea makwenu Iwe kipindi cha matatizo Au matembezi ya kawaida, ila Naomba Niongelee sisi ambao tunaofikia makwenu Kuja kutafuta maisha...
NUMBER ONE IN REPLY.😀😀😀😃😃😃😃
Namshangaa anavyolalamika,, hao ni watoto sipati picha wangekua watu wazima angeliaje🤣🤣NUMBER ONE IN REPLY.😀😀😀
😂😂😂niliwahi kwenda kwa Mjomba wangu miaka ya nyuma, walikuwa wanajiweza sana kifedha.
Ile nafika navua viatu na soksi zangu zilizotoboka nkazificha ndani,nikakaa na kuanza soga na salamu na wenyeji wangu(Anko,mke wake, na mabinamu wa kike)
Mara ghafla junia wa Anko kashafichua soksi zangu kweny kiatu akaja sebuleni katikati ya watu na kusema” Mhhh mama ona soksi za anko zimetoboka halafu zinanuuuka”
Waliangua kicheko sebule nzima, na mimi nikabaki kujichekesha kinafiki ila niliuumia sana mana aliniuumbua kinoma.
SIKUPENDA NA NILIKAA SIKU 1 ILA YULE MTOTO ALIKUWA SHIDA SANA
Tulia wewe, wafundisheni watoto adabu.Haya mambo ya kuwasema watoto kama wakubwa wenzenu ndio inapelekea matukio ya ubakaji na ulawiti kwa watoto uongezeke, mtu mzima kama wewe kuweka ligi na mtoto hadi kufungua uzi huoni aibu!?? Kwani ukituliza korodani zako kwako huyo Junia utamuonea wapi???
Leo ni ijumaa, Kuna wengine hawatoka out ku-enjoy weekend, hivyo huleta mada zisizo na masiko. Sio junior tu watoto wote huleta usumbufu na binadamu ameumbwa kufikiri kutumia ubongo hivyo suala la watoto halisumbui kichwa kihivyo hasa kwenye malezi. 😀😀😀😀Namshangaa anavyolalamika,, hao ni watoto sipati picha wangekua watu wazima angeliaje🤣🤣
Yeah ni kweli...sema ndo vile watu wengine wameumbwa na makasiriko 🤣🤣🤣🙈Leo ni ijumaa, Kuna wengine hawatoka out ku-enjoy weekend, hivyo huleta mada zisizo na masiko. Sio junior tu watoto wote huleta usumbufu na binadamu ameumbwa kufikiri kutumia ubongo hivyo suala la watoto halisumbui kichwa kihivyo hasa kwenye malezi. 😀😀😀😀
Watu wametofautiana tabia na kufikiri. 😀😀Yeah ni kweli...sema ndo vile watu wengine wameumbwa na makasiriko 🤣🤣🤣🙈
Ni kweliWatu wametofautiana tabia na kufikiri. 😀😀
Kutwa nzima umeshinda JF haiya mumeo umempikia nini Leo au ndiyo wanawake jeuri. 😀😀😀😀 Leejay49Ni kweli
Na hilo nenda ukalitazameeee 😀😀😄😄Hahaha😃😃😃🤭
Me bado nakula msosi wa mama my friend😃🙈Na hilo nenda ukalitazameeee 😀😀😄😄