Kweli majungu ni
wale wanaopata kazi kwa vimemo,mimi nilikuwa nafundisha shule moja
maarufu sana hapa dar ipo Tabata ya Munyambo wa Karagwe,sasa pale walimu
kwa primary nilikokuwa karibia 86 percent ni wanyambo,na cha kushangaza
wewe unaweza ukaja pale kuomba kazi interview ukapgwa ya darasani na
ukapewa mtihani,lakini baada ya siku akaja mwenzio mkakutana darasani
hakuna cha interview hasa wa karagwe.Sasa wale jamaa wana mtandao na
mwenye shule hata ukiugua jipu matakoni watamwambia boss.Wao ndo
wanjifanya wanajua kufundisha na kuripoti wasi jua kazi,n.k.Sasa mie
kipindi kile ndo nina bachelor yangu na wakaniweka primary nkaona hapa
nikuharibiana C.V nkaondoka zangu nipo serikalini .
mkuu hiyo TUSIIME schools!