Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 6,604
- 9,164
Jukumu kubwa la Wizara ya Kilimo (ikiwa pamoja na Waziri) ni kutunga na kusimamia sera zinahlzohusiana na kilimo na chakula) ikiwa pamoja na kulinda maslahi ya mzalishaji. Haihusiki sana na mlaji kwasababu baada ya kuzalisha na kufikisha mazao sokoni, jukumu lililobaki linahusika pia na Wizara ya Biashara, usafirishaji nk.Ndio maana nadhani haujaelewa majukumu ya Wizara..., Jukumu la kuhakikisha gharama za uendeshaji ni rafiki ni nani ? na wakati mahindi yanashuka bei na kuozea mashambani huwa gharama za uendeshaji analipia nani...
Kwanini Vyakula vinapanda bei ? Kama vinapanda bei sababu ya supply huoni mzalishaji hajafanya kazi yake ya kuhakikisha supply ya kutosha kwa mwaka mzima ?Jukumu kubwa la Wizara ya Kilimo (ikiwa pamoja na Waziri) ni kutunga na kusimamia sera zinahlzohusiana na kilimo na chakula) ikiwa pamoja na kulinda maslahi ya mzalishaji. Haihusiki sana na mlaji kwasababu baada ya kuzalisha na kufikisha mazao sokoni, jukumu lililobaki linahusika pia na Wizara ya Biashara, usafirishaji nk.
Jambo unaloshindwa kuelewa ni kwamba kutokea kwa mfumuko wa bei ni kosa kubwa la mtu anayesimamia uzalishaji huo kutokuona mbali na kufanya preparation ya kuhakikisha hizo bei hazifumuki...., issue sio bei zinapanda kiasi gani au nani auze au asiuze wapi..., issue ni kujua kabisa beforehand kwamba mzigo ukiwa mchache (uzalishaji) basi bei zitapanda na viceversa (sasa ili kupunguza hii seesaw ya kupanda na kushuka na kufanya betting kwenye kilimo) wizara hii kwa kushirikiana na wenzao wangekuwa na system in place ya kuhakikisha supply inakuwa constant throughout the year (kwa kutumia storage)Aidha, kutunga na kusimamia sera ni jambo moja na kufikiwa malengo ya utekelezaji wa sera hiyo ni jambo lingine. Hivyo sera ni lazima iweke mazingira ya kuvutia uwekezaji kwenye kilimo under open and free market system. Huenda si mara zote Wizara ya Kilimo inahusika moja kwa moja na bei ya mazao kwani kuna factors nyingi zinazohusika along the value chain ya kilimo.
Kwanini Vyakula vinapanda bei ? Kama vinapanda bei sababu ya supply huoni mzalishaji hajafanya kazi yake ya kuhakikisha supply ya kutosha kwa mwaka mzima ?
Kwani hoja yako ya msingi kabisa nini? Kwanini vyakula vinapanda bei au majukumu llya Wizara au Waziri wa Kilimo?Kwanini Vyakula vinapanda bei ? Kama vinapanda bei sababu ya supply huoni mzalishaji hajafanya kazi yake ya kuhakikisha supply ya kutosha kwa mwaka mzima...
Kama ukifuatilia jibu la JIBU lako utaona automatically hio Wizara inahusika na mfumuko wa Bei..., Twende Logically....Kwani hoja yako ya msingi kabisa nini? Kwanini vyakula vinapanda bei au jukumu la Wizara au Waziri wa Kilimo nini?
Kwanini vyakula vinapanda bei jawabu ni suala la demand and supply. Majukumu ya Wizara ya Kilimo nini, nilishakujibu. Sera sio bulldozer, na sio suala la "kuwa then inakuwa". Nimekujibu utekelezaji wa sera ni pande mbili, mtungaji na mtumiaji.
Nani kasema wakulima wazuiwe kuuza ? Unaweza ku-niqoute ni wapi nimesema hivyo ? Am all for Free Market na wala sitaki mtu apangiwe bei ya kuuza kitu ambacho ametoa jasho lake na kama anaweza kupata pengine bei kubwa itakuwa ni uchizi kuuza kwenye bei ndogo...Miaka ya mwanzo ya JPM tulishuhudia wakulima wakubwa akina Sumry wakilalamika mazao yao kukosa soko na kuharibika baada ya kuzuiwa kuuza katika masoko ambayo walidhani wangeuza kutokana na matakwa ya kisera.
Narudia tena kugeuza hii kwamba ni vita ya walaji kutaka kuwanyonya wakulima ni Bashe na Wizara kujivua uwajibikaji kuhakikisha supply kubwa kila wakati..., kama tunajua kwamba soko la nje huwa lipo kwanini tusilitumia muda wote ? Na kama uwezo wa kulima hatuna sio hawa hawa waliosema Magereza na wengineo wasiingie kwenye Kilimo ili watu wafanye Biashara...Baada ya kuvuna, wakazuiwa kuuza. Je unatarajia mkulima atalayefanyiwa hivyo arudi tena shambani mwaka unaofuata? Umeona kilichotokea kwenye korosho? Tangu Serikali ilipoingilia, korosho haijaja juu tena hadi Sasa. Ndio maana Bashe anasema much as msomi anaamua elimu yake aajiriwe serikalini, private au nje ya nchi au ajiajiri mwenyewe, mkulima naye ainjoy fursa ya namna.
"Vijana waache boda boda waende vijijini wakalime.."Nimeamini wa Tanzania uwezo wa kufikiri ni mdogo sana.!
Bashe ni waziri makini sana tatizo vipele vingine kama akina Bashiru na mtoa mada ubongo kb...
Katika hao wenye uwezo mdogo wa kufikiria na wewe pia upo na ndio maana unadhani hu mfumuko wa bei za nafaka wanafaidika wakulima wakati ukweli ni kwamba anayefaidika hapa ni mfanya biashara wakulima walishauza hizo nafaka tokea zipo shambani tena Kwa bei ya tshs 200 Kwa kilo Moja ya mahindiNimeamini wa Tanzania uwezo wa kufikiri ni mdogo sana.!
Bashe ni waziri makini sana tatizo vipele vingine kama akina Bashiru na mtoa mada ubongo...
Ukiona mtu anabishana na hili ujue kichwani ni mtupu kabisaKatika hao wenye uwezo mdogo wa kufikiria na wewe pia upo na ndio maana unadhani hu mfumuko wa bei za nafaka wanafaidika wakulima wakati ukweli ni kwamba anayefaidika hapa ni mfanya biashara wakulima walishauza hizo nafaka tokea zipo shambani tena Kwa bei ya tshs 200 Kwa kilo Moja ya mahindi
Acha uongo, nipo Iringa hapa wilaya ndani chobi, boda boda zinapishana kutafuta mahindi kitaa debe moja la lita 20 wananunua kwa 18,000.Katika hao wenye uwezo mdogo wa kufikiria na wewe pia upo na ndio maana unadhani hu mfumuko wa bei za nafaka wanafaidika wakulima wakati ukweli ni kwamba anayefaidika hapa ni mfanya biashara wakulima walishauza hizo nafaka tokea zipo shambani tena Kwa bei ya tshs 200 Kwa kilo Moja ya mahindi
Swali zuri, kimsingi ukiona supply ni ndogo kuliko demand ujue wazalizashaji wachache au waliopo wanazalisha kiasi kidogo."Vijana waache boda boda waende vijijini wakalime.."
Point yko ni ipi?
Wanaolalamika gharama za vyakula ipo juu ni bodaboda?
Point yako ni ipi hasa ?Acha uongo, nipo Iringa hapa wilaya ndani chobi, boda boda zinapishana kutafuta mahindi kitaa debe moja la lita 20 wananunua kwa 18,000.
Hakuna mkulima aliye chukizwa na bei za mwaka huu, tena asikwambie mtu watu wamelima na Mungu bariki mvua inanyesha we subiri uletewe Dar mahindi kwa elfu 2 kg ya unga.
Kwa utafiti wako mdogo uliofanya bei zitabakia hivi ? na hao wote Boda, vibanda vya nyimbo n.k. wakienda kulima (kubahatisha kwenye kilimo) unadhani bado bei itabakia hivi ?Swali zuri, kimsingi ukiona supply ni ndogo kuliko demand ujue wazalizashaji wachache au waliopo wanazalisha kiasi kidogo.
Kwa utafiti wangu mdogo wasomi na wasio wasomi wanakimbilia kazi ndogo ndogo mfano hizo boda,vibanda vya kirusha nyimbo...
Nimesoma mara kadhaa maelezo yako, kwa ufupi tukubaliane kwamba jukkumu la wizara ni ku set standard price ya mazao.Naam huenda usemayo ni kweli.., sasa ili wengine tuongeze ufahamu unaweza kuniambia jukumu la hii wizara ni nini na kama kuhakikisha kuna uwepo wa chakula cha kutosha sio moja ya jukumu lao...
Ku-set prices ni kazi ngumu sana ndio mwisho wa siku watu wataanza kushikwa kama walanguzi na wengine kuficha mizigo na kuuza kwa wizi....Nimesoma mara kadhaa maelezo yako, kwa ufupi tukubaliane kwamba jukkumu la wizara ni ku set standard price ya mazao...
My friend huo ni mtihani mkubwa sana kwa serikali yako unataka kuipa.Ku-set prices ni kazi ngumu sana ndio mwisho wa siku watu wataanza kushikwa kama walanguzi na wengine kuficha mizigo na kuuza kwa wizi...
DefinitelyNimeamini wa Tanzania uwezo wa kufikiri ni mdogo sana.!
Bashe ni waziri makini sana tatizo vipele vingine kama akina Bashiru na mtoa mada ubongo kb...
Angalia usivyokuwa na akili kuliko hao unaoona "hawana uwezo wa kufikiri".Nimeamini wa Tanzania uwezo wa kufikiri ni mdogo sana.!
Bashe ni waziri makini sana tatizo vipele vingine kama akina Bashiru na mtoa mada ubongo kb...
Sasa wewe ndo umeelewa somo una akili.Angalia usivyokuwa na akili kuliko hao unaoona "hawana uwezo wa kufikiri".
Msimu huu mahindi yanakuwa adimu, vijana wanaacha bodaboda na kwenda kulima, msimu ukiingia mahindi yamejaa kila sehemu, hata huko nje bei ni ya kutupa, utafanya nini?
Mkuu, unamaanisha kuna sehemu wakaulima wanauza au wameuza mahindi kwa bei ya mwaka jana (Aftatu) ?Hizo bei hazimgusi mkulima ni maalum kwa traders usidanganywe na viingereza