Majoka...

kweli ni majoka......najiuliza huyo dada aliyenyanyua mguu juu.....sijui ndio style gani.....
 
Enzi hizo kulikuwa hakuna stress kama za siku hizi.
 
Mhh hayo majoka ni ya miaka hiyo ya 2000 na kuendelea,sijaona bugaluu wala laison,sijaona afro hapo!! Hayo ni majoka ya siku hizi tu btn 2000-2010 si ya zamani kabisa!
 
Nimeona title nikajua majoka wanyama nikaingia nikichungulia kwa jicho moja maana naogopa hawa viumbe hata kwenye picha tu....kumbe ni utaratibu wa kucheza....

Hiyo inafaa kama huna kitambi na manyama uzembe
 
Umeshawahi kuliona li-giant anaconda wewe?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…