Majoho UDOM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Majoho UDOM

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Mgoyangi, Oct 23, 2011.

 1. Mgoyangi

  Mgoyangi Senior Member

  #1
  Oct 23, 2011
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 184
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  jamani naomba kujuzwa! Je ni kweli na sahihi kwa UDOM Kutoza sh. Laki na nusu kwa kukodi joho? Natanguliza shukurani
   
 2. S

  Sngs Senior Member

  #2
  Oct 23, 2011
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 111
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mwenzangu ngoja tuone maana udom management hakuna bali kuna figure zilizokwenye management hawa wazushi wanaweza kufanya hivyo kweli kwani wana maana!!
   
 3. i

  iphoneman Member

  #3
  Oct 23, 2011
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  dah! Hlo joho unavaa mwaka mzma kwan hadi watoze hyo hela
   
 4. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #4
  Oct 23, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,971
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Si bora ukanunue la kwako. Udom sasa mmezidi. Kila kukicha udom, ina maana management ya udom hawana aibu kila siku kusemwasemwa.
   
 5. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #5
  Oct 23, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  laki na nusu hyo ada ya acomadation hapo na chenchi inarudi.
   
 6. i

  iphoneman Member

  #6
  Oct 23, 2011
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hii management haina macho, na elimu yao ni ya kweny makaratac, kila kukicha badala ya kutatua tatzo moja wanajkuta wanatumbukia kwny lingne, We uliza tu usajili saiv unavyofanyika pale Jamhur Stadium, yaani watu wanakua kama vchaa
   
 7. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #7
  Oct 23, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Wale watoto wavivu sana,wanawafanyisha mazoezi kumudu hali ya usafiri na uchotaji maji umbali mrefu.
   
 8. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #8
  Oct 23, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Lini ni mahafali huko udom
   
 9. i

  iphoneman Member

  #9
  Oct 23, 2011
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sio uvivu ila ni utaratbu mbovu uliowekwa usiokidhi utoaji huduma kwa idadi ya watu waliopo.
   
 10. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #10
  Oct 23, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Jibu lako lipo kitaalamu zaidi,na pale hayo mawazo hakuna.
   
 11. i

  iphoneman Member

  #11
  Oct 23, 2011
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  lakin wanaofanya hyo shughul wana elimu ya kutosha na zaid ni wao wenyewe ndio wanaofundisha 'management' sasa kwann hawatumii elimu hyo walionayo katika kufundsha
   
 12. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #12
  Oct 23, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  Duh huku UDSM 42,000 watu imewashinda, sembuse laki na nusu.
   
 13. Poriposha

  Poriposha JF-Expert Member

  #13
  Oct 23, 2011
  Joined: Oct 23, 2011
  Messages: 306
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Nimegraduate juz 2 at college of informatics ila hizo tetec sijazisikia mi najua tunalipia 30000
   
 14. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #14
  Oct 23, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Unajua kwa mazoea au unajua koz ulikuwa pale info.
   
 15. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #15
  Oct 23, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  ka mliweza kumchangia mkulu hela ya kuchukua fomu kwa nini mshindwe hela ya joho linalowahusu,ukiona umeshindwa kabisa sio lazima kukodi
   
 16. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #16
  Oct 23, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Wambie Mr mikataba feki,walijipendkeza sanaaa,ila wamejfnza.
   
 17. Poriposha

  Poriposha JF-Expert Member

  #17
  Oct 23, 2011
  Joined: Oct 23, 2011
  Messages: 306
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  According waliograduate 2010, tena in 2nd grad inawezekana ikawa pungufu kwa hiyo
   
 18. king'amuzi

  king'amuzi JF-Expert Member

  #18
  Oct 23, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Udom ni Mradi wa ccm lazim a wavune kwa njia nyingi nimeshangazwa sana na utaratibu wa kulipa kila kitu kinachoratibiwa na utawala sasa ada ni ya nini? Suluhisho kodisheni yenu wenyewe!
   
 19. Mtu Mzima

  Mtu Mzima JF-Expert Member

  #19
  Oct 23, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 381
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Unaweza ku-graduate bila joho. Haita-athiri elimu na hadhi ya degree yako.
   
 20. K

  Kanyigo JF-Expert Member

  #20
  Oct 23, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 959
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  sishangai mambo ya udom hayo.
   
Loading...