Ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaa!!Watu wanamadongo aisee duh! Afadhali yetu sisi Chelsea hatufugi kima tunafukuza kocha dakika yeyote akileta uzembe, wacha mtucheke tu kwa hilo lakini lengo letu ni mafanikio.
naomba tuheshimiane, heshima ni kitu cha bure, unatuita ss liver fool au nyie ndio ndio mlioendelea kupita vilabu vyote duniani mpaka mna manchester united refaree academy