Hayo yatakuwa ni majogoo ya Dar!
Na hata YESU alisema atasalitiwa kabla ya jogoo kuwika akiwa na maana kabla ya alfajiri.Pamoja na kwamba mleta uzi Kauliza Swali la msingi sana, hata mimi nafuga kuku na jambo hili huwa linanitatiza sana, lakini disappointingly majibu anayopata ni ya ajabu. While I believe hapa JF kuna wajuzi wengi why kama huna majibu isipite tuu kimya kimya?? Zamani ukisema nitaondoka jogoo la kwanza it was real time lakini hawa majogoo wa leo si wa kutegemea kabisa..
Jogoo hawahawa tunaowafahamu ama jogoo gani? Mmmmhhh
Nimekuja mbio nikijua majogoo ya bwawani, kumbe haya yasio na baba??Jogoo hawahawa tunaowafahamu ama jogoo gani? Mmmmhhh
Popo bawa anatembelea hiyo nyumba usikuSiku hizi imekuwa kawaida hasa majogoo ya mjini kuanza kuwika saa tatu au saa nne usiku.nini maoni yako kwa hilo
ni mabadiliko tu mkuu, mengi yamebadilika... siku hizi hata wanaume wanaotegemea wanawake wameongezeka, wanawake wanaooa wenzao kibao achilia mbali mashogaSiku hizi imekuwa kawaida hasa majogoo ya mjini kuanza kuwika saa tatu au saa nne usiku.nini maoni yako kwa hilo
Hata wewe? Umekosa jibu loohLiverpool ....fc