ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,676
Amani iwe nanyi.
Wakuu, huwa najiuliza sana kuhusu hili tamasha la Mziki Mnene ni nini. Sijawahi kuona viingilio vikitangazwa wala wadhamini wa Mziki Mnene, ila huwa naona tu wanaenda sanaa mitaani yaani Swekeniii huko kama Kimara-Golani, Kibaha wakiwa na wasanii. Sasa najiuliza Majizzo na E-FM huwa wanafaidika na nini kupitia hili tamasha?
Naona wasanii wanaenda kama akina Nay wa Mitego, Shetta na wengine; huwa najiuliza wanalipwa nini? Kuna siku Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam niliona akisema anataka kushindanisha matamasha 3, na hili akalitaja, lakini sijaelewa lengo la tamasha hili ni nini.
Wanapata faida kweli?