Majirani wanaopendana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Majirani wanaopendana

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Jrafiki, Dec 25, 2011.

 1. J

  Jrafiki Member

  #1
  Dec 25, 2011
  Joined: Dec 23, 2011
  Messages: 75
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jirani mmoja alikuwa akimuazma jiraniye tololi la kuchotea maji daily,mwenye tololi akaona ni usumbufu kwa sababu kuna muda mwngne aktaka kulitumia anaambiwa limeazimishwa,cku moja akaona ule usumbufu ni mkubwa akaamua kununua tololi jipya na kumpa jiraniye ili asiazimwe azimwe na huyo jirani,jirani akashukuru.Kama mjuavyo majirani mtaani akatokea mwingne akaona donge akajsemea moyoni "kama yeye alimuazima tololi mwishowe akanunuliwa jipya ngoja nami nikamlilie hali"
  Akaenda..akalianzisha lake,
  Jirani:Habari,me hali yangu mbaya,naumwa umwa sana.
  Jamaa: pole jirani,ushaenda hosptl kupata vipimo?
  Jirani:Nimepima vipimo vyoote tatizo silioni.
  Jamaa:hamna shida basi tuonane jioni
  jirani:(akafurah moyoni,ksha akaaga)
  ..jioni wakaonana..
  Jamaa:ahaa jirani,umekuja!nimeamua nikuletee hizi zaga zaga naona zitakusaidia.
  Jirani:ahsante(akatimka nazo)
  kufika nyumbani kufungua SANDA!
   
 2. Angel Nylon

  Angel Nylon JF-Expert Member

  #2
  Dec 25, 2011
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 4,471
  Likes Received: 1,472
  Trophy Points: 280
  heeeeee........
   
 3. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #3
  Dec 25, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,726
  Likes Received: 446
  Trophy Points: 180
  aaaaah angel upo wewe?
   
 4. T

  The Priest JF-Expert Member

  #4
  Dec 25, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 1,026
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mmmh!joke zngne bana!hata mtu hucheki!
   
 5. DAWA YA SIKIO

  DAWA YA SIKIO JF-Expert Member

  #5
  Dec 26, 2011
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35

  .... Usipoelewa hucheki mkuu!
   
 6. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #6
  Dec 26, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hahahahahaaa angempa na jeneza kabisa
   
 7. Jeji

  Jeji JF-Expert Member

  #7
  Dec 26, 2011
  Joined: Jun 28, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  akome kupenda vya bure.
   
Loading...