Majirani wanamcheka mpenzi wangu

Majirani wanamcheka mpenzi wangu

yaa mwanamme kasema mchumba wake dizaini haogi wala kufua nguo
Hamna bwana......huyo mlalamikaji ni mwanamke ambae mwanaume wake ndo yupo hvyo......

Anyway labda hatuelewani .....tuachie hapa
 
Hamna bwana......huyo mlalamikaji ni mwanamke ambae mwanaume wake ndo yupo hvyo......

Anyway labda hatuelewani .....tuachie hapa
Sorry!Mm nilijua mtoa mada ni mwanamme analalamika msichana wake ndiyo yupo hivyo!

Khaa kumbe msela ndiyo mchafu?Ehehehehe makubwa haya
 
Sorry!Mm nilijua mtoa mada ni mwanamme analalamika msichana wake ndiyo yupo hivyo!

Khaa kumbe msela ndiyo mchafu?Ehehehehe makubwa haya
Yap yap msela kabelwa ndo mchafu
 
Poleni na mihangaiko wana JF.

Naomba ushauri nifanyeje hapa nilipopanga majirani zangu wanamcheka mpenzi wangu walikuwa ndani wakicheka huku housegirl akiwa mlangoni nikaona housegirl naye anacheka huku akijibu eeh kaja aliponiona mimi akafunga mlango.

Mimi nilihisi wanacheka jinsi anavyo vaa siku za kazi. Kuanzia nguo hadi viatu upande wa viatu anavaa malapa ni kama ya kuogea sio kuvaa kwenda mjini. Upande wa mashati mara yamepauka au kua na tobo kabisa.

Mimi ni mtumishi serikalini yeye anauza duka la ndugu yake na kukaa kwa ndugu yake anadai ni kaka yake. Mimi pia kwa upande wangu nilishamuonya juu ya huo uvaaji kwa sababu nipo njiani na watumishi wenzangu nikikutana nae napita kama simjui yaani nashindwa hata kumtambulisha kuwa huyu ni shemeji yenu.

Wakati tunaanza mahusiano nilimpenda sana kiasi kwamba nikachukua hela kidogo nikaenda kumnunulia shati na tishirt nikampa hakuyachukua mpaka nilipo mlazimisha na hajawahi kuvaa hata siku moja. Mimi nilichohisi huko anakokaa wanamkataza kuvaa nguo ambayo hajanunuliwa nikamuuliza kwa nini havai hakunipa sababu inayoeleweka.

Ila siku za jumapili huvaa nguo nzuri na viatu vizuri hupendeza sana hadi nafurahi. Kuna kipindi nikaamua awe anakuja jumapili tu. Kumpenda nampenda lakini nashindwa nifanyeje kuhusu hili.
Umri wako please!!!!
 
Sina simu ya whatsapp..........nichangie ninunue ili nikuone.......
Khaaa!Njoo Kariakoo zipo hadi za elfu 25 unaingia watsap lkn kuandika tu ndiyo huwezi sababu appl ni ya kichina lkn picha inafika

Niandikie ukifika mitaa hii nipo Aggrey/Swahili
 
Khaaa!Njoo Kariakoo zipo hadi za elfu 25 unaingia watsap lkn kuandika tu ndiyo huwezi sababu appl ni ya kichina lkn picha inafika

Niandikie ukifika mitaa hii nipo Aggrey/Swahili
Yaani bora nisiwe na simu......khaaa
 
Back
Top Bottom