Natumai wote mu wazima wa afya.
Imenibidi niandike jambo hili kutokana na kuliona wahusika hawalifanyii kazi kwa mda mrefu sasa. Katika hospitali ya Hai haina jenereta kwa mda mrefu kupelekea ukosefu wa huduma pindi umeme ukatikapo.
Pia kwenye huduma nyinginezo wahusika wakipewa likizo bila ya mbadala wa kutoa huduma kama kitengo cha mionzi (xray mgonjwa aulizapo kupewa majibu yasiyofaa.

Last edited by a moderator: