ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,717
- 52,042
- Thread starter
-
- #301
Siamini katika MunguWe mdada unazungumzia asili ya vitu vyote kuna uhasi+uchanya. Na vyote ni kipimo kwako wewe binadamu kuumbwa kwa ulimwengu haikuwa kirahisi bila hata maandiko kwa mtazamoo tuu ipo nguvu kuu, unamini katika Mungu????
Basi majibu unatafuta kumhusu nani ?Siamini katika Mungu
Nimejenga hojaBasi majibu unatafuta kumhusu nani ?
Nasema hivi Mungu na Shetani ni Roho maswali yako mengi+majibu yamejikita kuongelea Mungu au Shetani kama Binadamu,wewe pia una Umungu na Ushetani ndani ya hilo jumba ambalo ni mwili wako mapepo ni tabia chafu majini ni roho.Nimejenga hoja
Inatakiwa wewe u comment kulingana na mtiririko wa mada au unasemaje?
Wewe unataka niwaongelee vipiNasema hivi Mungu na Shetani ni Roho maswali yako mengi+majibu yamejikita kuongelea Mungu au Shetani kama Binadamu,wewe pia una Umungu na Ushetani ndani ya hilo jumba ambalo ni mwili wako mapepo ni tabia chafu majini ni roho.
Umewahi kuyashuhudia ?Majini β
SawaMapepo β
Kama uko teyari nikuoneshe ujipange lakini.Umewahi kuyashuhudia ?
Sawa
Kwa njia ganiKama uko teyari nikuoneshe ujipange lakini.
Tuwasiliane, kama uko serious.Kwa njia gani
Asante kwa maoni yakoTuwasiliane, kama uko serious.
You are welcome.Asante kwa maoni yako
Karibu tena mkuu
Kwanza ujibu maswali halafu ndio ullamike kwa AISamahani mkuu unatumia AI kunijibu?
Nashangazwa namna ambavyo badala ya kunijibu maswali yangu ni kama unaniuliza tena
Sasa tutakuwa tunaulizana tuu bila kupeana majibu?
now nipo barabarani
Nikitulia nitakuja kukujibu
Mkuu, mimi napenda mijadala huru, namaanisha free.minded discussionsKwanza ujibu maswali halafu ndio ullamike kwa AI
Bila samahani ungalijibu kwanza mkuu Mimi hata hiyo AI unaweza kuitumia , haijalishi kitu , muhimu ni kupata elimu . Tuendelee unaweza kuitumia dude lolote ulijualo feel freeMkuu, mimi napenda mijadala huru, namaanisha free.minded discussions
Sio mimi nijiumize kichwa kujenga hoja, halafu wewe uje na majibu ya AI
Mara ya kwanza ulipouliza, nilikujibu vizuri sana kwa njia ya maswali nashangaa badala ya kujibu maswali yangu na kuendeleza mjadala, unakuja na majibu ya jumla tena mwisho wa siku ni kama unaniuliza maswali yale yale
Mimi napenda mjadala ambao kila mmoja anatumia uwezo wake wa kufikiri kuhoji na kujibu hoja kwa hoja Sio kuzungushana kwenye majibu ya jumla
Samahani kama nitakukwaza