Wakuu naombeni mapendekezo yenu kuhusu majina ya watoto pacha wakike mmoja na wakiume mmoja. Likianzia na herufi A nitapenda zaidi. Kichwani nafikiria kuwapa jina la Angel na Angelo, napenda kupata majina mengine zaidi. Yawe majina ya Kikristo.
Waite majina yafuatayo:
1. Aaron
2. Abigaili
kumbuka majina yananafasi katika destiny ya watoto si kila jina lipo vema lakini haya ninauhakika nayo kwani namimi nimejaaliwa mapacha isipokuwa wote wa kike, nilimuomba Mungu na pia nina BILBLIA YENYE MAJINA NA MAANA ZAKE, kuanzia herufi A-Z
aSANTE