Eli means God kwa mengi ya makabila ya mashariki,nadhani pia kwa lugha zingine....so ni pre-fix nzuri ya majina,hasa christians...kwa mfano Elineema means Mungu wa Neema,Elinipendo Mungu ni Upendo,,,
Wananifurahisha wale wa nyanda za juu kusini ambao majita yao yanaanzia na Mwa..... na mwisho wa maneno umkute jina linaanzia na Atu ,nishakutana na mmoja anaitwa Atufilefile na mdogo wake Atufigwegwe