Majina ya Wanawake wa JF

[qoute]Dah.... charminglady, linalomaanisha
urembo, ucheshi, upendo na
amani[/quote]

Kuuuuumbeeeeeeeee... Ndivyo nilivyoooooo!!!!

Wala hata hujakosea.... Daddy angu watu8 shahidi, si ndio daddito!!!
 
Last edited by a moderator:
Simplicity wacha hiyo mambo yako ya kutupaka mafuta kwa mgongo wa chupa
 
Last edited by a moderator:
Majina mengine yalikuwa yananichanganya jinsia umejuaje ni KE?
 
hahahahahahahahaaaaaaaaaa acha ncheke mie ninenepe
aliyekwambia mm ni mwanamke humu jf ni nani?
au wajidanganya nafsi wewe?
 
Huyu Simplicity lazma atakuwa mtu wa pm.. unawajuaje?
 
Last edited by a moderator:
Kuuuuumbeeeeeeeee... Ndivyo nilivyoooooo!!!!

Wala hata hujakosea.... Daddy angu watu8 shahidi, si ndio daddito!!!

Ha ha ha haswaa...na umekuwa hivyo tokea ukiwa binti mduchu....ndio maana dadii akupenda
 
SIMpilicity.. na mimi nimekumiss..

jina langu linamaanisha nini vile
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…